Pages


Home » » WAKATI JIJI LA MBEYA LIKIWA KATIKA VURUGU KANDORO ALIKUWA AKIWATUMIKIA WANANCHI VIJIJINI

WAKATI JIJI LA MBEYA LIKIWA KATIKA VURUGU KANDORO ALIKUWA AKIWATUMIKIA WANANCHI VIJIJINI

Kamanga na Matukio | 05:18 | 0 comments
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akizungumza na waandishi wa habari juu ya miradi mbalimbali ya kijamii alipotembelea vijijini wakati huo huo Jijini Mbeya vurugu ikiibuka kati ya Machinga na Jeshi la Polisi.
Hawa ni baadhi ya wananchi ambao Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw. Kandoro alikutana nao alipokuwa katika ziara yake huko vijijini.
Mwananchi akipata huduma ya maji yanayopita katika mto ambayo hata hivyo usalama wake katika matumizi yake ni mdogo. (Picha chini mtoto katika kijiji cha Isansa akimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw.  Kandoro wakati wa uzinduzi wa kituo cha Afya kijijini hapo.
MKUU wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro alikuwa ndani ya gari hili akivuka kutokea katika mradi mkubwa wa kilimo cha Umwagiliaji uliopo Naming'ong'o katika kijiji cha Nkala kata ya Chitete wilayani Mbozi, wakati Bw.Kandoro akiwa huku akijitoa mhanga kupita ndani ya maji marefu wamachinga Jijini Mbeya walikuwa wakipambana na askari Polisi na kusababisha vurugu kubwa,Bw. Kandoro alilazimika kukatisha ziara yake ya wilaya ,Mbozi na kurudi Jijini Mbeya kufuatia viurugu hizo. 
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger