Pages


Home » » WANAWAKE NA MAENDELEO WASONGE MBELE MKOANI MBEYA

WANAWAKE NA MAENDELEO WASONGE MBELE MKOANI MBEYA

Kamanga na Matukio | 05:02 | 0 comments
Bi Jane Mahenge akiwa katika shughuli zake za utengenezaji wa Masweta yanayotumiwa na wanafunzi ya shule mbalimbali za Msingi na Sekondari mkoani Mbeya. Baada ya kumaliza kidato cha Nne katika shule ya Sekondari Ivumwe jijini Mbeya, alifikia uamuzi wa kujifunza kufuma masweta kwa lengo la kujikimu kiuchumi katika kipindi cha kusuburi matokeo ya Kidato cha Nne kutoka.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger