Pages


Home » » WATU WATATU WAFARIKI KATIKA MATUKIO MAWILI TOFAUTI WILAYA ZA CHUNYA NA MBARALI.

WATU WATATU WAFARIKI KATIKA MATUKIO MAWILI TOFAUTI WILAYA ZA CHUNYA NA MBARALI.

Kamanga na Matukio | 05:30 | 0 comments
Wanawake wawili wamefariki kwa kujinyonga katika Wilaya ya Mbarali na Chunya,matukio yote haya yametokea jana yakihusisha wanawake wenye umri wa zaidi ya miaka 60.

Aidha mwili wa marehemu katika Wilaya ya Chunya amezikwa jana baada ya jeshi la polisi kufika na kuthibitisha kifo hicho nawa wilaya ya Mbarli mwili wake ulikuwa ukiendelea kuning’inia na unatarajia kuzikwa leo.

Wakati huo huo mtu mmoja ameuwa baada ya kutokea mapigano katika mgodi wa dhahabu wilayani Chunya na Jeshi la polisi lilikuwa linaelekea eneo la tukio usiku wa jana..

 *****Kwa habari zaidi endelea kufuatilia mtandao huu******
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger