Pages


Home » » HII HATARI TUPU,NA NI AIBU KUBWA SANA KWA WIZARA HUSIKA TAFUTENI NJIA MBADALA

HII HATARI TUPU,NA NI AIBU KUBWA SANA KWA WIZARA HUSIKA TAFUTENI NJIA MBADALA

Kamanga na Matukio | 03:20 | 0 comments
Hii ndiyo hali halisi ya bucha katika mnada wa Mbuyuni,wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya wahusika.Je,Wizara husika mwaionaje hii hali na hatua gani mwazichukua ili kuhakikisha afya za walaji zinaimarika baada ya kudhoofika?
Hapa nyama tayari ipo buchani kilo sh 2000 mambo yanaendele mnada wa Mbuyuni, wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya.
Kazi ni kazi nae mnoa visu anaendelea na kazi yake katika mnada huo.
Mmh picha inajieleza yenyewe mambo ya mnadani hayo.
Hili ndilo eneo la kupata chakula cha aina mbalimbali katika mnada huo wa Mbuyuni Chunya. Kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger