Home » » WAKAZI WA UYOLE MBEYA WASEMA SASA KUUWA WEZI BASI DAWA NI KUWASURUBISHA MPAKA POLISI WAFIKE

WAKAZI WA UYOLE MBEYA WASEMA SASA KUUWA WEZI BASI DAWA NI KUWASURUBISHA MPAKA POLISI WAFIKE

Kamanga na Matukio | 02:06 | 0 comments
Mwizi wa Betri ya gari aliyefahamika kwa jina moja la Sefa akisurubiwa kwa staili ya aina yake kwa kufungwa kwenye ngazi pamoja na betri aliyoiimba katika Mtaa wa Uyole jijini Mbeya.
Mwizi huyo akiendelea kuteseka katika ngazi hiyo na mashuhuda wakizidi kulalamika eneo la tukio.
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya lilifika eneo la tukio kumwokoa mwizi huyo wa betri baada ya kupata mateso hayo ya aina yake.
Wananchi walikuwa bado wanahasira wakidai mwizi huyo aachiwe kwa kile walichokisema kuwa wamesumbuliwa sana, hivyo wanataka kumfunza adabu .
Polisi walizidiwa na kupokonywa mtuhumiwa na wananchi kuendelea kumpa kipigo.

Pichani ni ngazi iliyotumika kumuadhibu mwizi huyo.
Picha na Ezekiel Kamanga Mbeya
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger