Pages


Home » » BENKI YA NMB WALIVYOENDESHA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI MBEYA

BENKI YA NMB WALIVYOENDESHA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI MBEYA

Kamanga na Matukio | 02:22 | 0 comments
Meneja wa kanda Lucresia Makiriye akizungumza wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali wa NMB jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.
Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Diwani Athumani akizungumza umuhimu wa wafanyabiashara kutotoa namba za siri za kadi za ATM katika mafunzo kwa wajasiriamali wa NMB mwishoni mwa wiki kwenye ukumbi wa rehema Jijini Mbeya.

Baadhi ya wafanyakazi wa NMB wa mkoa wa jiji la Mbeya wakifuatilia kwa makini maelezo kutoka kwa mmoja wa wawezeshaji wa mafunzo ya wajasiriamali wa NMB mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wajasiriamali na wateja wa  NMB wakimsikiliza Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Diwani Athumani kwenye mafunzo ya ujasiriamali kwa wafanyabiashara wa NMB jijini mbeya.
Baadhi ya wafanyabiashara wakifuatilia mafunzo ya NMB jijini Mbeya.
Mmoja wa Maofisa wa Benki ya NMB makao makuu Jeremiah Lyimo akifafanua jambo kuhusu mikopo katika mafunzo kwa wajasiriamali yaliyofanyika jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.


Mmoja wa Maofisa wa Benki ya NMB makao makuu Beatrice Mwambije  akielezea faida za mikopo
Mwenyekiti wa Chama Cha Wafanyabiashara, viwanda na Kilimo, (TCCIA) Mkoa wa Mbeya Julius Kaijage akisisitiza jambo wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali yaliyotolewa Jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. 

Mmoja wa wateja wa NMB akichangia wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali yaliyoendeshwa katika ukumbi wa Rehema Jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.
Ofisa Ardhi wa Jiji la Mbeya Castro Ntala akifafanua jambo wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali wa NMB Jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.
Mmoja wa wajasiriamali akichangia jamabo katika mafunzo ya wateja wa NMB jijini Mbeya.
 Mmoja wa wajasiriamali ambaye ni mteja wa Be nki ya NMB Mkoa wa Mbeya Chifu Lyoto akiuliza swali juu ya matatizo na kero mbalimbali wanazokutana nazo wateja katika mikopo.
Mwakilishi wa wafanyabiashara na wateja wa NMB jijini Mbeya Ipini Ipini akizungumza mafanikio yatokanayo na Benki ya NMB wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali mkoa wa Mbeya.
Baadhi ya watumishi wa NMB Mbeya
Baadhi ya watumishi wa NMB makao makuu
Mwakilishi wa wafanyabiashara na wateja wa NMB jijini Mbeya Ipini Ipini akizungumza mafanikio yatokanayo na Benki ya NMB wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali mkoa wa Mbeya.
                                                       
                                                                Na  Mbeya yetu
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger