Pages


Home » » SIKILIZA KUHUSU TUKIO LA LEO LA WATU WANAO SADIKIWA KUGANDANA WAKILA URODA HUKO TEMEKE DAR ES SALAAM...!!!

SIKILIZA KUHUSU TUKIO LA LEO LA WATU WANAO SADIKIWA KUGANDANA WAKILA URODA HUKO TEMEKE DAR ES SALAAM...!!!

Kamanga na Matukio | 02:12 | 0 comments
UMATI wa watu wakiwa wamefurika katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam , mapema leo wakiwa na hamu ya kutaka kuwaona mwanaume na mke wa mtu waliodaiwa kugandiana wakifanya mapenzi katika moja ya nyumba za kulala wageni wilayani Temeke. 
 Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke, Dk. Aman Malima akishangaa kuona umati huo
Police walitumia mabomu ya machozi kuwatawanya watu waliofurika Hospitali ya  Temeke kushudia tukio hilo
Baadhi ya watu wakiwa hapo kushudia watu hao walio gandiana
Wananchi wakishinikiza waoneshwe wapenzi hao
Sikiliza 
Part 1
Part 2
Source: Free Bongo
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger