Home »
» WAKAZI WA IWAMBI JIJINI MBEYA WAWAOMBA HALMASHAURI YA JIJI WAKASAMBAZE VIFUSI WALIVYOMWAGAWA ZAIDI YA MIEZI 4 SASA MAANA HAWANA BARABARA YA KUPITA
WAKAZI WA IWAMBI JIJINI MBEYA WAWAOMBA HALMASHAURI YA JIJI WAKASAMBAZE VIFUSI WALIVYOMWAGAWA ZAIDI YA MIEZI 4 SASA MAANA HAWANA BARABARA YA KUPITA
|
HIVI
NI VIFUSI VILIVYOMWAGWA KATIKATI YA BARABARA HUKO IWAMBI SASA NI MIEZI 4
IMEPITA WALA HAKUNA HATA YA DALILI YA KUSAMBAZWA KWA VIFUSI HIVYO JE
WAHUSIKA MPO? MWESHIMIWA DIWANI WA IWAMBI UPOOOOO? AU UNASUBIRI TENA
UCHAGUZI? |
|
WAKAZI
HAO WA IWAMBI WAMEULALAMIKIA UONGOZI WA JIJI KWA KUTOWAJALI
WANAPOKWENDA KUWAELEZA JUU YA TATIZO HILO LA VIFUSI HUWA WANAJIBIWA
KUWENI WAKALI NDIYO TUTAKUJA HUKO KWANI HAMONI MAENEO MENGINE WENZENU
WAKALI NA MADIWANI WAO WAKALI KILA MARA WANAFUATILIA NDIYO TUNAENDA
KUWAFANYIA KAZI SASA WAMESHINDWA KUELEWA NI UKALI GANI WAUTUMIE ILI
VIFUSI HIVYO VISAMBAZWE |
|
HII NDIYO HALI HALISI YA BAADHI YA BARABARA ZA IWAMBI JIJINI MBEYA |
|
HAYA
TENA ENEO LINGINE LA IWAMBI VIFUSI HIVI SASA NI WIKI YA NNE 4
HAVIJASAMBAZWA JIJI MNALIONA HILI KAMA HAMPO TAYARI KUSAMBAZA KWANINI
MNAPELEKA VIFUSI HUKO? |
|
WAHUSIKA HEBU WAJALINI WAKAZI WA IWAMBI WAMECHOKA SASA |
|
MBEYA YETU ITAENDA KUWAONA WAHUSIKA WA JIJI WAKAZI WA IWAMBI TUTAWAPA JIBU
Picha na Mbeya yetu |
0 comments:
Post a Comment