Home »
» Wazazi kukwepa majukumu katika familia zao ni chanzo cha watoto kujiajiri Mkoani Mbeya.
Wazazi kukwepa majukumu katika familia zao ni chanzo cha watoto kujiajiri Mkoani Mbeya.
|
KUSHOTO
MTOTO COLYNS JOHN MIAKA 8 MWANAFUNZI WA DARASA LA PILI SHULE YA MSINGI
IKUTI JIJINI MBEYA NA LUSHINDIHO SIMKONDA MIAKA 10 HUYU HASOMI KABISA
SHULE HAPA WAMEAJIRIWA KUBEBA TOFARI KWA UJIRA WA SHILINGI 30 TU KWA
TOFARI MOJA |
|
HUYU
NI ANNA SAIMON MIAKA 8 NI MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI IKUTI DARASA
LA TATU AKIWA AMEBEBA TOFARI MBILI ZINAZOKADIRIWA KUWA NA UZITO WA KILO
10 |
|
WATOTO
HAWA TULIPOWAULIZA KWANINI MNABEBA TOFARI HIZI MUDA WA KUWA SHULE
WALITUJIBU KUWA TUNATAFUTA HELA ZA DAFTARI KWANI WAZAZI WETU HAWANA
UWEZO WA KUTUNUNULIA |
|
WATOTO
HAWA TULIWAFUATILIA AMBAPO WALITEMBEA KWA UMBALI WA MITA 500
KUZIFIKISHA TOFARI HIZO HUKU JUA KALI LIKIWAWAKIA NA BILA YA KUWA NA
VIATU MIGUUNI MAJIRA YA SAA 7 MCHANA WENZAO WAKIWA MADARASANI |
|
MTOTO
COLYNS JOHN MIAKA 8 AKILIA BAADA YA KUELEMEWA NA UZITO WA TOFARI
ALIZOBEBA KWANI AKIZIVUNJA TU HAWEZI LIPWA PESA YAKE JAMANI INAUMA SANA
WAHUSIKA MPO WAPI? JUU YA SWALA HILI LA AJIRA KWA WATOTO |
|
KUSHOTO NI FREDRICK SIMON MIAKA 12 AKIMSIHII COLNSY ASILIE KUWA SASA ANAKARIBIA KUFIKA |
|
BINTI HUYU AMETOKA KUCHOTA MAJI MTO NZOVWE
Picha na Ezekiel Kamanga |
0 comments:
Post a Comment