Pages


Home » » UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA SONGWE MBEYA WAANZA KUTUMIKA NDEGE ZAIDI YA TATU ZATUA

UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA SONGWE MBEYA WAANZA KUTUMIKA NDEGE ZAIDI YA TATU ZATUA

Kamanga na Matukio | 04:05 | 0 comments
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa uliopo Songwe Mkoani Mbeya umefunguliwa rasmi na ndege zaidi ya tatu kutua uwanjani hapo zikiwa na abiria.
Abiria akishuka kwenye moja ya ndege iliyotua uwanjani hapo.

Mwandishi wa habari kutoka Kituo cha redio kinachofahamika kutoka Nyanda za Juu Kusini Bomba FM na Blogu ya Kamanga na Matukio Ndg. Ezekiel Kamanga akishuka katika ndege katika uzinduzi wa uwanja huo wa Ndege wa kimataifa.
Baadhi ya watumishi wa Uwanja huo wakishusha mizigo kutoka kwenye ndege.
Baadhi ya abiria walioshuka uwanjani hapo.
Mama Hellen raia wa Uganda akifurahia kutua katika kiwanja hicho cha ndege kilichopo Songwe mkoani Mbeya.
Mheshimiwa Diwani wa Kata ya Sisimba Ndg, G. Kajigiri akimsubiri mgeni wake anayetokea Jijini Dar es salaam.
Mmoja wa Maafisa wa Uhamiaji uwanjani hapo.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger