Pages


Home » » PICHA YA MLINZI ALIYEUAWA KIKATILI.

PICHA YA MLINZI ALIYEUAWA KIKATILI.

Kamanga na Matukio | 01:41 | 0 comments
Mlinzi binafsi Simon Mwambene(45) Mkazi wa Kijiji cha Matula, Mbozi Mission Kata ya Magamba Wilaya ya Mbozi, Mkoani Mbeya, ameuawa na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi alipokuwa lindo Desemba 13 mwaka huu majira ya saa 8:15 usiku alipokuwa analinda maduka 9 yaliyopo kijijini hapo yanayomilikiwa na Bwqana Frank Tenson, Mgala, Tweve, Sosten Kibona, Raphael Kisunga, Kamika Simbeye, Crispin Ndabila, Gody Mahenge, Anthon Mwazembe na Samwel Ndabila (Picha na Ezekiel Kamanga).
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger