Pages


Home » » WATU 11 WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA KWA KOSA LA KUFANYAMAANDAMANO BILA KIBALI

WATU 11 WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA KWA KOSA LA KUFANYAMAANDAMANO BILA KIBALI

Kamanga na Matukio | 04:54 | 0 comments
 Wananchi wa kijiji cha Inyara wilaya ya Mbeya vijijini walifunga njia baada ya Maandamano siku ya jumapili kushinikiza Jeshi la polisi kuwaachia huru wananchi nne wanaotuhumiwa kwa mauaji ambao ni Musa Mwanabeya, Musa Philemon, Japhet Walenjela na Mwashinga Lazima,
Jeshi la Polisi katika Maandamano hayo linawashikilia watu Kumi na mmoja wakiongozwa na Bwana SAMWELI TARIANI mwenye umri wa miaka 50 kwa kosa la kufanya maandamano bila kibali.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger