Pages


Home » » MADUKA HAYA NDIO YALIYOVUNJWA ENEO LA INYALA NA KUPELEKEA MWANANCHI WA NNE KUSHIKILIWA NA JESHI LA POLIS KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA MTU MMOJA.I

MADUKA HAYA NDIO YALIYOVUNJWA ENEO LA INYALA NA KUPELEKEA MWANANCHI WA NNE KUSHIKILIWA NA JESHI LA POLIS KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA MTU MMOJA.I

Kamanga na Matukio | 05:29 | 0 comments
 Duka hili lina milikiwa na Bwana Musa Mwanabeya ambaye ni mmoaja kati ya watu wa nne waliomuuaji kijana moja hakufahamika jina lakini ni mkazi wa Uyole jijini Mbeya.
Hali kadharika na hili linamilikiwa na Bwana Musa Philemon ambaye naye ni Muuaji.
 Na hili linamilikiwa na Bwana Japhet Walenjela ambaye naye ni muuaji
*Watu wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya.
*Hali hiyo ndio iliyopelekea wananchi 11 kati ya 1200 wanashikiliwa na Jeshi la polisi  kufanya maandamano bila kibali siku ya Jumapili asubuhi na Polisi kufanikiwa kuwatawanya watu wengine kwa kutumia Mabomu ya machozi  
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger