| HII HATARI SANA HAPA TAYARI WAMEFUNGUA NATI ZOTE. |
| WAHUSIKA MPOOOOO? |
| JAMAA WASHAMALIZA KABISA KUIBA VYUMA VYAKINGO ZA DARAJA LA TRENI MAENEO YA MBALIZI MBEYA. |
| TRENI HIYOOOOO INAPITA MLEMLE KULIKOFUNGULIWA BOLT JE WAHUSIKA MNALIONA HILI?. |
| Picha Na Ezekiel Kamanga Mbeya yetu |
0 comments:
Post a Comment