
Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi akilia kwa Uchungu Muda huu

Maelfu ya watu wakiongezeka kufika katika Mazishi ya mwandishi wa habari wa Chanel Ten Daudi Mwangosi Muda huu

Mheshimiwa Mark Mwandosya ambaye ni Waziri ofisi ya Rais na pia Mbunge wa Rungwe Mashariki akitoa salam kwa Niaba ya Serikali

Watu wakiwa wengi na wenye utulivu wakisikiliaza watu mbalimbali wakitoa salam zao kwa ndugu wa Marehemu

Mjane Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi aliyejishika, akiwa na uchungu muda huu

Ibada ikiwa inakaribia kuanza

Ibada ya mazishi ndio imeanza muda huu

Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa wenye majonzi Makubwa

Waandishi
wa Habari wakiwa katika msiba wa kwanza kutoka kulia ni Ndugu Joseph
Mwaisango ambaye ni mwandishi mkuu wa Mbeya yetu Blog, Rais wa UTPC Keny
Simabaya, pamoja na Felix Mwakyembe .
Endelea kufuatilia Moja kwa moja hapa
PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG
0 comments:
Post a Comment