Pages


WAKUNGA WA JADI WAZALISHA WANAWAKE WAJAWAZITO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU - CHUNYA,

Kamanga na Matukio | 05:35 | 0 comments
Na Ezekiel Kamanga, Chunya. Wakunga wa jadi wawili wanaofanya shughuli ya kuwazalisha wanawake wajawazito katika Kata ya Totowe,Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya wamewaokoa wanawake wengi,licha ya kukabiliwa  na Chnamoto mbalimbali katika ufanikishaji wa fani hiyo ikiwa ni pamoja na ukosefu wa vitendea kazi. Mmoja wa wakungunga anayefahamika kwa jina la Bi.Hilda Said Kawinga(80),amesema mpaka sasa amewazalisha wajawazito 55 mwaka huu na walipokelewa kwake siku mojakbalya yakujifungua na hakuna kifo chochote kilichowahi kutokea  na kuorodhesha katika Daftari  lake na ilimlazimu kufanya hivyo ili kuisaidia Serikali kupata takwimu endapo zitahitajika, Amesema kuma kuwa changamoto...

ACHARANGWA MAPANGA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA, MWINGINE AUAWA KWA KUPIGWA NONDO.

Kamanga na Matukio | 05:34 | 0 comments
Na Ezekiel Kamanga,Mbeya Ajuza mwenye umri wa miaka 80 aliyefahamika kwa jina la Bi. Janeth Nenje, amenusurika kifo baada ya kucharangwa na mapanga na mtu aliyefahamika kwa jina la Pato Lwiza Mkazi wa Kitongoji cha Chang'ombe,Kijiji cha Mbuyuni Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya. Tukio hilo la kusikitisha limetokea kijijini hapo Septemba 19 mwaka huu majira ya saa mbili usiku ambapo mtuhumiwa alimfuata ajuza huyo nyumbani kwake na kuanza kumcharanga kwa mapanga na kisha kumjeruhi vibaya hali iliyopelekea kukimbizwa katika Kituo cha Afya kilichopo kijijini hapo. Imedaiwa kuwa siku za hivi karibuni mtuhumiwa Bwana Lwiza alimtuhumu ajuza huyo kuwa ni mshirikina hali iliyomfanya kuingiwa na hasira...

MAKALA

Kamanga na Matukio | 05:33 | 0 comments
Na Gabriel Mbwille Katika maisha yaliyo ya kawaida tunafahamu kuwa kifo kinapotokea huwa kimepangwa na Mwenyezi Mungu, lakini pia kwa wakati mwingine kifo husababishwa bila ridhaa ya mwenyezi Mungu, na ndio maana kunakuwa na vyombo vya kisheria dhidi ya watu waliosababisha vifo katika tawala mbalimbali zikiwemo za kimila, kidemokrasi na hata zile za kidikteta. Katika vifo ambavyo kila mmoja anaamini kuwa kimepangwa na Mwenyezi ni pamoja na kifo cha mtu kinachotokana na maradhi mbalimbali ama ajali, lakini inapotokea mtu akafariki dunia kwa kupigwa ama kuchinjwa na mtu mwingine jamii huamini kuwa kifo hicho si mpango wa Mungu na ndio maana watu ama mtu anayehusika na kifo hicho hukamatwa...

KUSHUKA KWA UWAJIBIKAJI NA UTENDAJI KAZI WA WATUMISHI WA IDARA MBALIMBALI

Kamanga na Matukio | 05:32 | 0 comments
Na Gabriel Mbwille, Mbeya. Imedaiwa kushuka kwa uwajibikaji na utendaji kazi wa watumishi wa idara mbalimbali hapa nchini vikiwemo vyombo vya habari kukosa maadili kunatokana na mfumo mbovu wa elimu ya hapa nchini. Hayo yalisemwa na waandishi wa habari mkoani Mbeya wakati wa mafunzo ya uandishi wa habari kwa njia za mtandao ambayo yameandaliwa na umoja wa klabu za wa andishi wa nchini  (UTPC) yaliyofanyika katika ukumbi wa hospitali ya mkoa Mbeya. Walisema kuwa hivi sasa kumekuwa na tabia ya ajira kutolewa kwa kuangalia kigezo cha elimu pekee pasipo kuangalia ujuzi na uzoefu wa mfanyakazi kikazi na kimazingira haliinayopelekea kuajiliwa kwa watu waio na ufahamu wowote wa kile wanachokifanyia...

BREAKING NEWS:- FUATILIA PICHA ZA MATUKIO YA WATOTO WALIOZALIWA WAKIWA NA MAUMBILE YA NG'OMBE NA BINADAMU NA WAKUNGA WAKIJARIBU KUOKOA MAISHA YA WANANCHI WA VIJIJINI..

Kamanga na Matukio | 01:05 | 0 comments
*Usikose kutembelea mtandao h...

AMPA MIMBA MWANAE WA KUMZAA - MZAZI

Kamanga na Matukio | 00:56 | 0 comments
Habari na Ezekiel Kamanga,Mbeya.  Mkazi wa Mtaa wa Mbete,Kata ya Isanga Jijini Mbeya Bwana Yussuf Hamad(39),anatuhumiwa kumpa mimba binti yake wa kumzaa(15) jina lake limehifadhiwa. Hayo yamethibitishwa na Mama mzazi wa binti huyo Bi, Regina Simon(35) baada ya kupata taarifa Mei 11 mwaka huu kuwa binti yake ana ujauzito wa miezi minne,na kuamua kutoa taarifa kwa Balozi  wa mtaa huo Bwana Steven Ovaova ambaye naye alitoa taarifa kwa Mwenyekiti wa Kitongoji Bwana Angelo Sanga. Viongozi hao wa mtaa walimuita  mtuhumiwa na ili kupata ukweli wa tukio hilo,lakini mtuhumiwa alikanusha ingawa binti yake alithibitisha kutendewa ukatili huo na kwamba alikuwa akitishiwa kwa mapanga...

AFARIKI AKIVUA SAMAKI

Kamanga na Matukio | 00:33 | 0 comments
Na Ezekiel Kamanga,Chunya. Mwananchi mmoja aliyefahamika kwa jina la Emmanuel Kidava,amefariki dunia akivua samaki katika Kitongoji cha Kambipotea,Kijiji cha Iyovyo,Kata ya Totowe Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya. Tukio hilo limetokea Septemba 19 mwaka huu majira ya saa 2 asubuhi,marehemu akiwa na Mtumbwi alipokwenda kuvua samaki na mauti hayo yamemkuta alipokuwa akivuta nyavu alizotega samaki,lakini nyavu hizo zilikwama kwenye mwamba ndipo marehemu alichupa kupiga mbizi ndani ya maji ili kujaribu kuzinasua nyavu hizo. Aidha katika juhudi hizo za kunasua nyavu hizo marehemu alikosa hewa na dakika tatu baadae alipoteza maisha kutokana na kunasa katika nyavu hizo alizokuwa akijaribu kuzinasua. Baada...

KAMBA YA KUFUNGIA NG'OMBE YATUMIKA KUFUNGIA USUKANI WA BASI LA ABIRIA.

Kamanga na Matukio | 05:41 | 0 comments
 Sehemu ya chini ya usukani ukiwa umefungwa kwa kamba (ambayu hutumika kufungia ng'ombe) na mti kama uonavyo pichani,katika basi la abiria linalomilikiwa na Kampuni la Mwasha ambalo husafirisha abiria kutoka Sumbawanga/Mbeya na Mbeya/Sumbawanga. Hii imegunduliwa baada ya ajali iliyotokea hivi karibuni katika eneo la Senjele,Wilaya ya Mbozi Mkoani Mbeya,baada ya basi hilo kupinduka ambapo zaidi ya abiria 50 walijeruhiwa na kukimbizwa katika...

MWANAMKE AJIFUNGUA KIUMBE KINACHOFANANA NA NG'OMBE

Kamanga na Matukio | 05:28 | 0 comments
*Kichwa cha ng'ombe. *Kiwiliwili cha binadamu. Na Ezekiel Kamanga,Chunya. Mwanamke mmoja ambaye amefahamika kwa jina la Shija Paulo(35),mkazi wa Kijiji cha Magaga,Kata ya Mbuyuni Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya amejifungua kiumbe kinachofanana na ng'ombe chenye jinsi ya kiume. Tukio hilo limetokea Septemba 16 mwaka huu majira ya saa 11 alfajiri,mwanamke huyo alipokuwa amepelekwa katika Zahanati ya Mbuyuni kwa ajili ya kujifungua akiwa na mumewake Bwana Mwigulu Yangula(Makeni) lakini kabla ya kufika zahanati mwanamke huyo alipatwa na uchungu ndipo alipoomba msaada kwa Mkunga wa jadi aliyekuwa karibu Bi. Agripina Fredrick Sikanyika(Namwinje). Mkunga huyo alimpokea mwanamke...

MWANAFUNZI AANGUKA NA MTI NA KUPOTEZA MAISHA.

Kamanga na Matukio | 05:27 | 0 comments
*Kichwa chake chapasuka na utumbo watoka nje.  Habari na Ezekiel Kamanga,Sumbawanga Vijijini. Mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Kilangawana,Kijiji cha Maleza,Kata ya Kapeta,Wilaya ya Sumbawanga Vijijini Mkoani Rukwa aitwaye Imani Nzala(12),amefariki dunia baada ya kudondokewa na mti ulikokuwa ukikatwa na Babu yake Bwana Nzala kwa ajili ya kuchomea tanuli la tofali. Katika ajali hiyo ya kusikitisha iliyotokea Septemba 16 mwaka huu majira ya saa tano,mtoto huyo alipasuka kichwa na utumbo wake kutoka nje hali iliyopelekea kukimbizwa hadi Kituo cha Afya cha Kilangawana. Licha ya marehemu kukimbizwa katika kituo hicho akiwa bado hajafariki,Muuguzi wa...

NOTI ZA SHILINGI 500 NA 2000 ZA HARIBIWA KWA AJILI YA KUTENGENEZA POMBE AU KUVUTIA SIGARA.

Kamanga na Matukio | 05:26 | 0 comments
Habari na Ezekiel Kamanga,Sumbawanga Vijijini. Taifa linaweza kuingia katika hatari ya kudidimia kwa uchumi kufuatia watu wasiokuwa na mapenzi na taifa hili kuziharibu noti za shilingi 500 na 2000 kwa kuondoa mstari(ufito) unaong'aa na unaohalalisha pesa hizo na kisha kuutumia katika pombe za kienyeji au bia ili kuongeza kileo wakidai kuwa husaidia kuokoa pesa kwani hulewa kwa muda mfupi. Mbali na hivyo mstari huo(ufito) pia huzichanganya na sigara au tumbaku ambapo hudai hulewa haraka,hivyo kufanya uadimu wa noti hizo katika maeneo ya Kijiji cha Maleza,Kata ya Kipeta,Wilaya ya Sumbawanga Vijijini. Athari hiyo pia imevikumba vijiji vya Kilangawana na Kamsamba hali ambayo...

WANUSURIKA KIFO:- WANAFUNZI 23 WA SHULE YA MSINGI KAPUNGA WANUSURIKA KIFO BAADA YA KUOKOTA MIKATE INAYOSADIKIWA KUWA NA SUMU.

Kamanga na Matukio | 05:12 | 0 comments
*Ni katika shamba la Kapunga Rice Project. *Wazazi wacharuka na kuanza kujenga shule mpya mahali alipobomoa mwekezaji. *Zaidi ya shilingi milioni 2.5 zachangwa papo hapo. Habari na Ezekiel Kamanga,Mbeya. Wanafunzi 23 wa Shule ya Msingi Kapunga,Kijiji cha Mapogolo,Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya wamenusurika kifo baada ya kula mikate inayosadikiwa kuwa na sumu mnamo mwishoni mwa mwezi Agosti mwaka huu. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Kijiji hicho Bwana Ramadhani Nyoni na mzazi mmoja wapo wa watoto waliokumbwa na janga hilo la kusikitisha na kuhatarisha uhai. Mzazi huyo ambaye hakupenda jina lake kutaja amesema yeye ilimlazimu kununua lita 20 za maziwa,kisha kuwanywesha...

TAMAA:- ADUNDWA MAKABURINI BAADA YA KUTAFUNA PESA ZA JENEZA

Kamanga na Matukio | 05:11 | 0 comments
**Marehemu azikwa bila jeneza. **Fundi aliyepewa pesa atorokea Mbeya. **Watumishi wa Mungu washuhudia kichapo. Habari na Ezekiel Kamanga., Bwana Marco Sikalunga Mkazi wa Kijiji cha Chilangawana,Sumbawanga Vijijini mpakani na Wilaya ya Momba Mkoani Mbeya amenusurika kufikwa na mauti paacha ya kupokea kipigo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali,baada ya kupewa jukumu la kuchangisha fedha shilingi 50,000 kwa ajili ya kuchonga jeneza. Bwana Sikalunga alidai kuwa fedha hizo zilizochangishwa alimkabidhi fundi anayefahamika kwa jina la Senga na kwamba utakapofika muda wa saa za kuzika ataleta jeneza hilo. Lakini katika mshangao mnamo Septemba 13 mwaka huu ulitokea msiba kijijini...

MWENYEKITI WA KIJIJI AKATA MITI YA SHULE BILA RIDHAA YA KAMATI

Kamanga na Matukio | 05:06 | 0 comments
*Kamati yacharuka yamtaka alipe fidia. *Vijana watishia kikao cha ndani. *Diwani akanusha kumbeba mwenyekiti. Habari na Ezekiel Kamanga,Mbeya. Mwenyekiti wa Kijiji cha Motomoto Bwana Kassimu Mwagala,amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuitwa na Kamati ya Shule ya msingi Motomoto alipotakiwa kutolea maelezo suala la kukata miti saba ya shule hiyo kutokana na shinikizo la vijana kutaka kuongeza uwanja wa shule pasipo ridhaa ya kamati hiyo. Akiongea kwa masikitiko Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Bi Lydia Mdoe,amesema kitendo hicho kilichofanywa na mwenyekiti huyo nicha dharau,hivyo kuwafanya waishi kwa hofu shuleni hapo licha ya dhamana waliyopewa na Serikali ya kulinda mali za...
Pages (14)1234567 Next
 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger