| Hapa nyama tayari ipo buchani kilo sh 2000 mambo yanaendele mnada wa Mbuyuni, wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya. |
| Kazi ni kazi nae mnoa visu anaendelea na kazi yake katika mnada huo. |
| Mmh picha inajieleza yenyewe mambo ya mnadani hayo. |
| Hili ndilo eneo la kupata chakula cha aina mbalimbali katika mnada huo wa Mbuyuni Chunya. Kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog. |
0 comments:
Post a Comment