
Hivi ndivyo Barabara ilivyokuwa kabla
Waandishi
wa Jiji wakiwa wamefika kuwashangaa wenzao wakiwa wanafanya kazi ya
kutejenga Taifa , wa pili kutoka kushoto ni Mwandishi wa Habari wa Bomba
Fm Radio Richard Kamanga aliyekuwa akifanya kazi ya kutengeneza
Barabara hiyo akiongea nao.
Baadhi
ya wamachinga na wananchi wa eneo hilo aibu zikiwa zimewashuka na
kuamua kushirikiana na Waandishi wa Habari kutoka Bomba Fm Radio...