Pages


Tuzo ya mwalimu bora duniani yazinduliwa

Chimbuko Letu | 23:17 | 0 comments
Mwenyekiti wa Wakfu huo Rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton. Baadhi ya walimu jijini Mbeya  wameipokea kwa mtazamo tofauti  juu ya kuzinduliwa kwa tuzo ya mwalimu duniani, atakaye thibitisha kuwa mchango wake kwa jamii umekuwa bora zaidi na kujishindia shilingi bilioni 1 na milioni 650. KWA HABARI KAMILI INALETWA KWAKO NA GREYSON SALUFU...... Bofya hapa chini kwa...

WANYANYASAJI WA WATOTO WAANZA KUCHUKULIWA HATUA MKOANI MBEYA.

Chimbuko Letu | 07:40 | 0 comments
John Msumba(3)ambaye amekuwa akipigwa mara kwa mara na wakati wote na kufungiwa ndani kwa kufuli pia kunyimwa chakula na shangazi yake  JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mwanamke mmoja Mwanahawa Nasoro(32) Mkazi wa Mtaa wa Airport Kata ya Iyela Jijini Mbeya akituhumiwa kumfanyia vitendo vya unyanyasasaji Mtoto wa ndugu yake.   Mwanamke huyo anatuhumiwa kumtesa, mtoto John Msumba(3) ambaye ni Shangazi...

WATOTO WAWILI KATI YA MAPACHA WANNE WAMEFARIKI DUNIA, RAMBIRAMBI KUTOKA USWISI ZAPOKELEWA KIJIJINI KWAO.

Chimbuko Letu | 07:26 | 0 comments
Jeneza likiwa na mwili wa Marehemu tayari kwa Ibada ya Mazishi iliyofanyikia Nyumbani kwao Chiwanda. Mchungaji wa Kanisa la Africa Mission Church wanakosali wazazi wa Marehemu akiongoza ibada ya Mazishi. baadhi ya Waombolezaji wakielekea Makaburini. Joseph Mwaisango akiwa amebeba Jeneza lenye mwili ya marehemu kuelekea Makaburini tayari kwa safari ya mwisho Mchungaji akisoma neno la Mungu kutoka kwenye Biblia lenye ujumbe...

BARAZA la Ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri wa Nchi kavu na Majini (Sumatra ccc) lazinduliwa Mbeya.

Chimbuko Letu | 07:25 | 0 comments
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk. Michael Kadeghe, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, wakati akizindua Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri wa nchi kavu na majini Mkoa wa Mbeya, katika hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Haoteli ya Mtenda Sunset iliyopo Soweto Jijini hapa. Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Taifa, Oscar Kikoyo alisema katika kuondoa baadhi ya wanafunzi hususani wa kike kurubuniwa na madereva kutokana na...

UMOJA WA MADEREVA WA MABASI TANZANIA (UWAMATA) KANDA YA MBEYA WAMELALAMIKIA JESHI LA POLISI KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NA MAMLAKA YA UDHIBITI WA NCHI KAVU NA MAJINI(SUMATRA) MKOA WA MBEYA KWA KUWANYANYASA WAWAPO KAZINI.

Chimbuko Letu | 07:22 | 0 comments
Mkuu wa upelelezi Mkoa wa Mbeya, Robert Mayala, alisema amepokea malalamiko yao na kwamba Jeshi la Polisi litakutana na Askari wanaolalamikiwa hasa wa Wilaya ya Rungwe na amemwagiza Mkuu wa usalama Barabarani kurekebisha kasoro zote ili kila upande ufanye kazi kwa amani. Mkuu wa Usalama Barabarani, Butusyo Mwambelo, alikanusha kuwafukuza madereva ofisini kwake bali alidai kuwa viongozi wanatetea wahalifu hali hiyo isipodhibitiwa itasababisha...
Pages (14)1234567 Next
 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger