
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM Dr, Jakaya Kikwete akiinua jembe na nyundu kwa maana ya nembo ya chama hicho mara baada ya kuingia uwanjani.
Jakaya Kikwete alipokuwa akianza kutoa hotuba mara baada ya kuingia katika uwanja huo.
baadhi ya viongozi wa chama hicho wakimshangilia mwenyekiti Jakaya Kikwete alipokuwa akiingia uwanjani.
Raisi Kikwete alipokuwa akiingia katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine kwaajili ya maadhimisho...