SHAHIDI wa tatu katika Kesi inayowakabili Maaskari wawili na Raia watatu ya unyang’anyi wa kutumia Siraha, Pasupuret Sreedhar ambaye ni raia wa India na Mhanga wa tukio hilo ameiambia Mhakama jinsi washtakiwa walivyofanikiwa kuwateka na kuwapora mali zao.
Akizungumza katika kesi hiyo huku akiongozwa na Wakili wa upande wa Jamhuri, Basilius Namkambe mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Mbeya, Michael Mteite,...
NEW VIDEO:- CHRIS BEE - SIENDI MBALI
6 years ago