Pages


BREAKING NEWS: LIVE MUDA HUU, WAANDISHI WA HABARI WA JIJI WAHAMASIKA BAADA YA MBEYA YETU BLOG PAMOJA NA BOMBA FM RADIO KUKARABATI KIPANDE CHA BARABARA BLOCK T

Chimbuko Letu | 14:04 | 0 comments
Hivi ndivyo Barabara ilivyokuwa kabla Waandishi wa Jiji wakiwa wamefika kuwashangaa wenzao wakiwa wanafanya kazi ya kutejenga Taifa , wa pili kutoka kushoto ni Mwandishi wa Habari wa Bomba Fm Radio Richard Kamanga aliyekuwa akifanya kazi ya kutengeneza Barabara hiyo akiongea nao. Baadhi ya wamachinga na wananchi wa eneo hilo aibu zikiwa zimewashuka na kuamua kushirikiana na Waandishi wa Habari kutoka Bomba Fm  Radio...

MAMA WANNE APELEKWA KATIKA KITUO MAALUMU NA WATOTO WAKE WAWILI WALIOBAKI KWA AJILI YA UANGALIZI.

Chimbuko Letu | 08:38 | 0 comments
  UONGOZI wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya kupitia kitengo cha Ustawi wa jamii  umemtafutia kituo cha kulelea watoto wa mitaani cha Nuru Ophans Centre Mama aliyejifungua mapacha wanne na kubakia wawili baada ya kuugua Nimonia kwa ajili ya uangalizi wa karibu.   Hatua hiyo imekuja baada ya uongozi wa Hospitali hiyo kumfuata mama mwenye watoto hao Aida Nakawala(25) pamoja na mapacha wake waliobaki kutoka kijijini kwao Chiwanda Wilaya ya Momba mkoani hapa na kuwalaza hospitalini hapo kwa uangalizi wa karibu kwa muda wa zaidi ya wiki moja.   Aidha baada ya afya za watoto hao  kuimarika kwa kiwango kikubwa pia Uongozi wa Hospitali hiyo imemtafutia hifadhi katika kituo cha kulelea...

TIMBWILI LAZUKA BAADA YA VIONGOZI WA SERIKALI KULA PESA ZA WANACHI.

Chimbuko Letu | 01:17 | 0 comments
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mapelele kata ya Ilemi, jijini Mbeya anashtumiwa kwa kutafuna pesa shilingi 1,300,000 zilizochangwa na wananchi kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya serikali ya mtaa. Bofya hapa kusikiliza habari kamili inayoletwa kwako na mwandishi wetu Greyson Salufu Chatanda. ...

MTENDAJI WA KIJIJI NA HALMASHAURI YA KIJIJI WATIMULIWA KIJIJI CHA IWIJI KWA UFUJAJI WA MBOLEA ZA RUZUKU

Chimbuko Letu | 07:27 | 0 comments
Kushoto Afisa tarafa Aaron Sote akipokea funguo toka kwa mtendaji Anton Ndisa  Afisa Kilimo wilaya Marselin Mlelwa atitoa takwimu  za mgao wa mbolea iliyotolewa Octoba 10 mwaka jana kwa kijiji hicho baada ya kupitishwa na Kamati ya Mbolea ya Wilaya ambayo mwenyekiti wake ni Mkuu wa Wilaya. Wananchi wakifuatilia mkutano huo kwa makini Saimoni Kasebele moja kati ya wajumbe kamati ya mbolea ambayo...

Tuzo ya mwalimu bora duniani yazinduliwa

Chimbuko Letu | 23:17 | 0 comments
Mwenyekiti wa Wakfu huo Rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton. Baadhi ya walimu jijini Mbeya  wameipokea kwa mtazamo tofauti  juu ya kuzinduliwa kwa tuzo ya mwalimu duniani, atakaye thibitisha kuwa mchango wake kwa jamii umekuwa bora zaidi na kujishindia shilingi bilioni 1 na milioni 650. KWA HABARI KAMILI INALETWA KWAKO NA GREYSON SALUFU...... Bofya hapa chini kwa...

WANYANYASAJI WA WATOTO WAANZA KUCHUKULIWA HATUA MKOANI MBEYA.

Chimbuko Letu | 07:40 | 0 comments
John Msumba(3)ambaye amekuwa akipigwa mara kwa mara na wakati wote na kufungiwa ndani kwa kufuli pia kunyimwa chakula na shangazi yake  JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mwanamke mmoja Mwanahawa Nasoro(32) Mkazi wa Mtaa wa Airport Kata ya Iyela Jijini Mbeya akituhumiwa kumfanyia vitendo vya unyanyasasaji Mtoto wa ndugu yake.   Mwanamke huyo anatuhumiwa kumtesa, mtoto John Msumba(3) ambaye ni Shangazi...

WATOTO WAWILI KATI YA MAPACHA WANNE WAMEFARIKI DUNIA, RAMBIRAMBI KUTOKA USWISI ZAPOKELEWA KIJIJINI KWAO.

Chimbuko Letu | 07:26 | 0 comments
Jeneza likiwa na mwili wa Marehemu tayari kwa Ibada ya Mazishi iliyofanyikia Nyumbani kwao Chiwanda. Mchungaji wa Kanisa la Africa Mission Church wanakosali wazazi wa Marehemu akiongoza ibada ya Mazishi. baadhi ya Waombolezaji wakielekea Makaburini. Joseph Mwaisango akiwa amebeba Jeneza lenye mwili ya marehemu kuelekea Makaburini tayari kwa safari ya mwisho Mchungaji akisoma neno la Mungu kutoka kwenye Biblia lenye ujumbe...
Pages (14)1234567 Next
 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger