
Victoria
Mukama (10) akiwa hospitali ya rufaa mbeya baada ya kupigwa na baba
yake mzazi sehemu mbali mbali za mwili wake akitumia vifaa vya ulinzi
likiwemo Lungu.
Mwalimu
wa zamu wa Shule ya Msingi Airport, Damali Obadia alisema tukio hilo la
ajabu lilitokea majira ya saa mbili na nusu asubuhi ambapo akiwa
ofisini alimuona mzazi huyo akiwa na mtoto huku akiendelea kumpiga
wakielekea ofisini.
Mama
mzazi...