Pages


MJANE WA MIAKA 60 ANAOMBA MSAADA WA KUTIBIWA MKONO WAKE ULIYOANZA KUHARIBIKA BAADA YA KUJERUHIWA NA NYOKA.

Kamanga na Matukio | 02:05 | 0 comments
Mwanamke Mjane FAINES NAMBEYE KAONGA [60] Mkazi wa kijiji cha IGUNDU Kata ya SANGAMBI Wilaya ya CHUNYA Mkoani MBEYA anawaomba wasamaria kumchangia pesa kwa ajili ya kupata matibabu baada ya kujeruhiwa  na nyoka alipokuwa amelala  chumbani kwake. Hivi ndivyo mkono wake ulivyo kwa sasa Mwanamke mmoja Mjane aliyefahamika kwa jina la FAINES NAMBEYE KAONGA [60] Mkazi wa kijiji cha IGUNDU...

Waziri wa afya na ustawi wa jamii Dk. Hussein Mwinyi amezindua kipimo cha malaria.

Kamanga na Matukio | 02:04 | 0 comments
Dk. Mwinyi akihutubia. Waziri wa afya na ustawi wa jamii Dk. Hussein Mwinyi amezindua kipimo cha malaria kinachotoa majibu ya haraka katika vituo binafsi vya kutolea huduma za afya. Kipimo hicho ambacho tayari kinafanya kazi katika vituo vya afya vya serikali, kinatoa majibu kwa muda wa dakika 15 tangu mgonjwa kuanza kutolewa damu. Akiongea katika uzinduzi huo, Dk Mwinyi amesema kuzinduliwa kwa kipimo hicho kinachojulikana...

Theo Walcott ameshangazwa na jeraha la kichwa alilopata mchezaji mwenzake Wayne Rooney.

Kamanga na Matukio | 02:03 | 0 comments
Mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza, Theo Walcott ameshangazwa na jeraha la kichwa alilopata mchezaji mwenzake Wayne Rooney na kusababisha kumuweka nje ya kikosi cha timu ya taifa ya nchi kitakachopambana na Moldova na Ukraine katika kutafuta tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia. Rooney aliondolewa katika kikosi cha Manchester United ambacho kilichapwa bao 1-0 na Liverpool katika Uwanja wa Anfield baada ya jeraha hilo kwa bahati mbaya...

Mashabiki wa soka nchini wametakiwa kuwa nyuma ya timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars.

Kamanga na Matukio | 02:03 | 0 comments
Mashabiki wa soka nchini wametakiwa kuwa nyuma ya timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ambayo inakabiliwa na mchezo wa mwisho wa kuwani nafasi ya kufuzu kucheza fainali za kombe la dunia dhidi ya timu ya taifa ya Gambia mwishoni mwa juma hili. Rai hiyo kwa mashabiki wa soka, imetolewa na katibu mkuu wa shirikisho la soka nchini TFF Angetille Osiah ambapo amesema kuna haja kwa watanzania kuendelea kuwa nyuma ya Taifa Stars licha ya kukosa...

JANGWANI;- Kamati ya wazee wa klabu ya Yanga wadai hawamtambui Katibu mkuu mpya...

Kamanga na Matukio | 02:01 | 0 comments
Siku moja baada ya uongozi wa klabu ya Dar es salaam Young Africans kudaiwa kumuajiri katibu mkuu mpya badala ya Lawrence Mwalusako, kamati ya wazee wa klabu hiyo wameibuka na kudai hawamtambui katibu huyo ambae ni raia kutoka nchini Kenya. Katibu wa kamati ya wazee wa klabu hiyo Ibrahim Akilimali amesema kama ni kweli viongozi wa ngazi za juu wameamua kufanya maamuzi ya kumuajiri katibu huyo anaejulikana kwa jina la Patrick Nagi...
Pages (14)1234567 Next
 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger