Pages


MBEYA CITY YAITANDIKA RUVU SHOOTING BAO 2--1

Kamanga na Matukio | 04:50 | 0 comments
Mgeni rasmi meya wa jiji laMbeya Athanas Kapunga  akisalimiana na wachezaji wa Mbeya city kabla ya mechi kuanza Meya wa jiji la Mbeya akiongea na timu zote mbili Wachezaji wa timu ya Mbeya city wakishangilia ushindi baadya ya kuitandika Ruvu shooting Kocha wa timu ya Ruvu shooting Charles Boniface Mkwasa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya mpira kwisha Kocha wa timu ya Mbeya city Mwambusi...

MBUNGE WA JIMBO LA RUNGWE MAGHARIBI, PROFESA DAVID MWAKYUSA ACHANGISHA ZAIDI YA MILIONI 40 KWA AJILI YA UJENZI WA KANISA LA SABATO LA SWEBO- NTOKELA WILAYANI RUNGWE.

Kamanga na Matukio | 04:49 | 0 comments
Mbunge wa Jimbo la Rungwe Magharibi Profesa David Mwakyusa akizungumza na waumini wa kanisa la Wasabato wa Swebo Ntokela kuashiria ufunguzi wa harambee ya ujenzi wa kanisa. Watoto wakiingia kanisani kwa ukakamavu mkubwa kushiriki harambee hiyo. Mgeni rasmi Profesa Mwakyusa akiwa meza kuu pamoja na viongozi wa Kanisa la Sabato siku ya harambee. Kwaya ya Kanisa hilo ikitumbuiza kanisa hapo siku hiyo ya harambee. Katibu mkuu...

Mama Pinda awashukia mafataki

Kamanga na Matukio | 04:56 | 0 comments
·         Ataka watoto wa kike wapewe kipaumbele katika elimu ·         Ni wale wanao walaghai wanafunzi Mke wa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Tunu Pinda, amewakemea baadhi ya wanaume wanaotumia matatizo waliyonayo wanafunzi wa kike na kuwalaghai ili watimize haja zao kwa kuwarubuni kuwahudumia huku akiitaka jamii ya Watanzania...

Vodacom yakabidhi vifaa ligi kuu.

Kamanga na Matukio | 04:55 | 0 comments
 Wawakilishi wa timu mbalimbali zinazoshiriki ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa vifaa vya michezo na mdhamini wa ligi hiyo kampuni ya Vodacom tayari kwa ajili ya kuanza kwa msimu wa ligi kuu 2013/2014. Pamoja nao katika picha ni Mkuu  wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa kampuni  hiyo Kelvin Twisa,(Aliyeshikilia mpira) na Mkurugenzi  wa Mashindano wa TFF, Saad...

INAUMA SANAAAA!!!!! TANESCO WAONDOKA NA UHAI WA BINTI HUYU HUKO MBEYA,PICHA ZA ENEO LA TUKIO HIZI HAPA

Kamanga na Matukio | 01:12 | 0 comments
 HAPA NDIPO MAREHEMU ALIPOGUSA NA KUKUTWA NA MAUTI NYAYA ZA UMEME AMBAZO ZIMENING'INIA MITA MOJA KUTOKA USAWA WA ARDHI ZIMESABABISHA KIFO CHA NEEMA B. KIPENYA (26) ALIPOTELEZA NA KUKAMATA NYAYA HIZO KISHA KUFARIKI PAPO HAPO.  KATI YA NGUZO HADI NGUZO NI UMBALI WA ZAIDI YA MITA 75 MAHALI AMBAPO PALIPASWA KUWA NA NGUZO TATU LAKINI IKAWEKWA NGUZO MOJA , HALI MTEJA WA ENEO HILO ALIKUWA AMELIPIA NGOZO TATU ZAIDI YA MIAKA...

NJEMBA YA MIAKA 50 ADAIWA KUWADHALILISHA NA KUWABAKA WATOTO WAWILI.

Kamanga na Matukio | 00:53 | 0 comments
MBAKAJI ERASTO MWAKYOMO (50) ANAYETUHUMIWA KWA UBAKAJI AKIWA KATIKA OFISI YA MWENYEKITI WA MTAA WA MAPELELE KABLA YA KUCHUKULIWA NA MWENYEKITI WA DAWATI LA WATOTO NA UKATILI WA KIJINSIA MARY GUMBO. WATOTO WALIOKUWA WAKIBAKWA WAKITOA MAELEZO JINSI WALIVYOKUWA WAKITENDEWA  MWENYEKITI WA MTAA WA MAPELELE CHRISTOPHER MWAKIBETE AKIANDIKA BARUA KWA WAZAZI NA MTUHUMIWA KUPELEKWA POLISI   BAADHI YA WAZAZI NA NDUGU...
Pages (14)1234567 Next
 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger