
Shirika
la viwango Tanzania TBS limepiga marufuku biashara ya uuzwaji wa nguo
za ndani za mitumba zinazoingizwa kwenye soko la hapa nchini.
Msemaji wa shirika la viwango TBS Bi. Rhoida Andusamile amesema hatua
hiyo ni utekelezaji wa matakwa ya agizo la sheria ya 2009 inayozuia
matumizi ya nguo za ndani zilizokwisha tumika.
Lakini
licha ya unafuu wa gharama za upatikanaji wa nguo za mitumba Nchini,
Serikali kupitia...