Pages


Momba, wamependekeza Mkoa mpya utakaogawanywa na serikali upewe jina la Momba, ukijumuhisha Wilaya ya Momba, Mbozi, Ileje na Chunya huku makao makuu yakiwa Vwawa.

Kamanga na Matukio | 03:57 | 0 comments
 Mkuu wa Wilaya ya Momba, Abiudi Saideya amesema Mkoa wa Mbeya utabaki kama ulivyo huku ukiunganisha Wilaya ya Mbeya, Kyela, Rungwe na Mbarali. Mkurugenzi Halmashauri ya Momba Wakitoa mapendekezo yao baadhi ya wajumbe, walisema kuwa Wilaya ya Momba inavivutio vya kiutalii, idadi ya watu, mazao ya chakula na biashara kama vile ufuta, kahawa, mahindi, mpunga  pamoja na uoto wa asili. Timu...

MEELA ASIKIKITISHWA NA HALI YA WANAHABARI MBEYA, ATIA MKONO KUANZISHA SACCOS

Kamanga na Matukio | 03:56 | 0 comments
MKUU wa wilaya ya Rungwe Bw. Chripin Meela amesema, changamoto zinazokabili sekta ya habari na  vyombo vya habari  kwa ujumla ni matokeo ya umuhimu wa taaluma hiyo katika ukuaji wa demokrasia nchini Wana habari wa Mbeya wakimsikiliza mkuu wa Wilaya Rungwe MKUU wa wilaya ya Rungwe Bw. Chripin Meela amesema, changamoto zinazokabili sekta ya habari na  vyombo vya habari  kwa...

SHULE ya msingi ya Idugumbi iliyopo Mbeya vijijini, inakabiliwa na uhaba wa wanafunzi kutokana na wazazi kuwatumia watoto hao kwenye shughuli za uvunaji wa zao la kahawa.

Kamanga na Matukio | 03:55 | 0 comments
SHULE ya msingi ya Idugumbi iliyopo Mbeya vijijini,  Mwalimu Mkuu wa shule ya Idugumbi Mpaze Mchaba, amesema licha ya shule hiyo kuwa na madarasa ya kutosha , madawati pamoja na walimu lakini watoto waliopo ni 270. Akizungumzia tatizo hilo Mtendaji wa kijiji cha Idugumbi Deodath Msyaliha, amekiri kuwepo kwa utoro wa wanafunzi pamoja na wazazi kuwatumia watoto kwenye shughuli hizo za uzalishaji kwa kutumia kilimo cha kahawa. Wanafunzi...

Wazazi kukwepa majukumu katika familia zao ni chanzo cha watoto kujiajiri Mkoani Mbeya.

Kamanga na Matukio | 03:16 | 0 comments
KUSHOTO MTOTO COLYNS JOHN MIAKA 8 MWANAFUNZI WA DARASA LA PILI SHULE YA MSINGI IKUTI JIJINI MBEYA NA LUSHINDIHO SIMKONDA MIAKA 10 HUYU HASOMI KABISA SHULE HAPA WAMEAJIRIWA KUBEBA TOFARI KWA UJIRA WA SHILINGI 30 TU KWA TOFARI MOJA HUYU NI ANNA  SAIMON MIAKA 8 NI MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI IKUTI DARASA LA TATU  AKIWA AMEBEBA TOFARI MBILI ZINAZOKADIRIWA KUWA NA UZITO WA KILO 10  WATOTO ...

UCHAFU WAKITHIRI SOKO LA IKUTI JIJINI MBEYA

Kamanga na Matukio | 03:15 | 0 comments
Wananchi wa Kata ya Iyunga mtaa wa IKuti  jijini mbeya wamelalamikia kitendo uongozi wa jiji la mbeya kushindwa kuzuia hali ya uchafu katika eneo la soko la Ikuti jijini           Licha ya kuwepo kwa shughuli za kimaendeleo hasa soko na shughuli nyiingine hali imekuwa mbaya katika eneo la soko hilo kutokana na kuwepo kwa mirundikano ya uchafu katika ya soko hilo.    ...

Mtoto wa miaka miwili afungiwa ndani zaidi ya miaka miwili Mkoani Mbeya.

Kamanga na Matukio | 02:16 | 0 comments
Mtoto Joshua akiwa amekaa uwani kwenye nyumba  yao huku wazazi wake wakiwa wamemwacha peke yake toka asubuhi bila ya kumpatia chakula mtoto huyo tumemkuta katika hali mbaya sana kwani tunemkuta amejisaidia haja ndogo na hana hata nguo za kubadilisha Kwa ujumla mtoto Joshua hata kutembea hawezi kwani simama yake ni ya kutetemeka migu tu  Hizi ni nguo za joshua na kaka yake nguo hizi hazifuliwi bali zikirowa...
Pages (14)1234567 Next
 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger