Pages


Wamzika Mwanakijiji mwenzao akiwa hai wakimtuhumu kusababisha kifo cha Mkazi mwenzao Mkoani Mbeya.

Kamanga na Matukio | 03:18 | 0 comments
KWANZA KABISA WANAANZA TOA JENEZA LA ALIEKUFA KWA UGONJWA NA KUZANIWA AMEROGWA NA ALIYEZIKWA AKIWA HAI MAANA KATIKA KABURI HILO WALIZIWA WATU WAWILI KATIKA KABURI MOJA  ALIE HAI NA MFU JENEZA LA ALIEKUFA KWA UGONJWA TAYARI LIMETOLEWA HILO PEMBENI SASA ANAFUKULIWAALIEZIKWA HAI HII MITI NDIYO ILIYOTENGANISHA JENEZA NA ALIEZIKWA AKIWA HAI KWANZA ALIANZA ALIE HAI KUZIKWA IKAFUATIA MITI HIYO NDIYO LIKAFUATA JENEZA LA ALIEKUFA ...

KANDORO ATEMA CHECHE KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO RUNGWE.

Kamanga na Matukio | 03:17 | 0 comments
  Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Ndugu Abbasi Kandoro akizungumzana waandishi wa habari ofisini kwake  Na Ezekiel Kamanga, Mbeya. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro amewataka viongozi wa dini kutoa ushauri kwa waumini pamoja na wananchi kwa ujumla kuacha kujihusisha na vitendo vya mauji ya kikatili vivavyo endelea kujitokeza siku hadi siku katika maeneo yote Mkoani hapa yanayo hatarisha uvunjifu wa amani na kuliletea sifa mbaya...

BABU WA MIAKA 86 KYELA AMBAKA MTOTO WA MIAKA 6

Kamanga na Matukio | 03:16 | 0 comments
Na Ezekiel Kamanga, Kyela KATIKA  hali isiyokuwa  ya kawaida iliyowashangaza wengi ni baada ya babu aliyefahamika kwa jina la Edward  Mwakalebela (86) ambaye ni mganga wa tiba za jadi mkazi  wa kijiji cha Ndwanga  kata ya Katumbasongwe wilayani Kyela Mkoani Mbeya kukutwa na hatia ya kumbaka mtoto wa miaka 6 Anjela kifoji, Kwa mujibu wa mama mzazi wa mtoto huyo Sioni Ijuni  aliiambia Tanzania Daima...

Cristiano Ronaldo amekanusha vikali tuhuma za kumsaliti rafiki yake wa kike Irina Shayk .

Kamanga na Matukio | 03:15 | 0 comments
Irina Shayk  Mwanamitindo wa Brazil Andressa Urach ‘Miss BumBum’.  Irina Shayk na Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid ya Hispania, Cristiano Ronaldo Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid ya Hispania, Cristiano Ronaldo amekanusha vikali tuhuma za kumsaliti rafiki yake wa kike Irina Shayk kwa kutembea na mwanamitindo wa Brazil Andressa Urach ambaye anajulikana pia kwa jina ya ‘Miss BumBum’. Urach...

ome » BURUDANI NA MICHEZO. » Barcelona haitasita kutumia mbinu chafu - Franz Beckenbauer Barcelona haitasita kutumia mbinu chafu - Franz Beckenbauer

Kamanga na Matukio | 03:14 | 0 comments
Mchezaji nyota wa zamani wa Ujerumani Magharibi, Franz Beckenbauer ameionya klabu ya Bayern Munich kuwa Barcelona haitasita kutumia mbinu chafu katika mchezo wa marudiano ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumatano. Barcelona walibamizwa mabao 4-0 katika mchezo wa kwanza uliochezwa Allianz Arena wiki iliyopita na Beckenbauer ana wasiwasi kuwa Barcelona watatumia mbinu zote kuhakikisha wanageuza ametokeo hayo. Amesema...

HAKI YA NANI VILE, WANANCHI MBOZI WALIZWA NA MBOLEA FEKI

Kamanga na Matukio | 02:32 | 0 comments
 Sehemu ya Mifuko ya Mbolea kimeo ikisogezwa pembeni na vijana wa kazi baada ya kufunguliwa kwa dula la Mbolea la STACO LTD na kusafishwa kwamba mbolea nyingine haina matatizo  Mbolea yenye alama ya kampuni ya YALA aina ya DAP ambayo pia imekutwa ikiwa chini ya kiwango ofisa wa Upelelezi Mbozi akionyesha sehemu ya Mbolea mbovu ambayo imefumbiwa macho na Mamlaka ya Udhibiti...

Wito umetolewa kwa wananchi mkoani mbeya kuhakikisha wanaendelea kuilinda na kutetea amani iliyopo badala ya kukubali kupandikizwa chuki na baadhi ya watu wasio utakia mema mkoa na Taifa kwa ujumla.

Kamanga na Matukio | 02:31 | 0 comments
Wito umetolewa kwa wananchi mkoani mbeya kuhakikisha wanaendelea kuilinda na kutetea amani iliyopo badala  ya kukubali kupandikizwa chuki  na baadhi ya watu wasio utakia mema mkoa  na Taifa kwa ujumla. Mwenyekiti wa  Scourt Mkoa wa mbeya Ndugu Pablo Sanga akizungumza na waandishi wa habari jijini humo amesema kuwa kuna kila sababu ya wananchi mkoani humo kuilinda amani ya mkoa huo ilikuvutia shughuli...

MICHEZO YA MEI MOSI KITAIFA YAZINDULIWA MBEYA

Kamanga na Matukio | 01:43 | 0 comments
Mwakilishi wa Mkuu wa mkoa wa mbeya Ndugu   Costantine Mushi. mwakilishi wa Mkuu wa mkoa wa mbeya Ndugu   Costantine Mushi. akizindua michuano hiyo Na Mbeya Yetu Blog Michuano ya Mei mosi kitaifa katika uwanja wa kumbukumbu sokoine jijini mbeya imeendela kushika ambapo michezo mbalimbali imefanyika uwanjani hapo  baada...
Pages (14)1234567 Next
 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger