Pages


ABOMOLEWA NYUMBA NA KUCHOMEWA VYOMBO VYA NDANI AKIDHANIWA MSHIRIKINA ILEMI JIJINI MBEYA

Kamanga na Matukio | 02:30 | 0 comments
Wananchi wenye hasira kali wakibomoa nyumba ya mama Atupele Kalile akidhaniwa kuwa mchawi maeneo ya ilemi Mbeya Kazi ya kubomoa nyumba ya mama huyo inaendelea Wengine wameshaingia ndani na kuanza kutoa vyombo nje tayari kwa kuvichoma Mtoto wa mama Atupele akijaribu kuokoa vitu vya mama yake visichomwe moto na wanakijiji Vyombo vinazidi kutolewa ndani ilivichomwe moto Tayari wameshaanza kuchoma moto vyombo vya mama Atupele Mwingine...

Uongozi wa Chuo cha Uuguzi cha Aggrey Jijini Mbeya walalamikiwa kutosikiliza kero na kutolea ufafanuzi,

Kamanga na Matukio | 02:22 | 0 comments
Kaimu Mkurugenzi wa Chuo cha Uuguzi cha Aggrey Jijini Mbeya.  Na Venance Matinya, Mbeya. Wanafunzi wanaosoma Chuo cha Uuguzi cha Aggrey kilichopo Sido Mwanjelwa Jijini Mbeya wameulalamikia uongozi wa Chuo hicho kwa kutosikiliza kero zao pamoja na kutotoa ufafanuzi wa masuala mbali mbali. Wakizungumza na waandishi wa habari kwa nyakati tofauti wanafunzi hao wanaosomea fani za madawa(Clinical Medicine), meno (Dental),...

Aoa Mwanafunzi wa kidato cha pili kwa Ng’ombe 45.

Kamanga na Matukio | 02:21 | 0 comments
·       Aoa Mwanafunzi wa  kidato cha pili kwa Ng’ombe 45. ·       Atishia kuua wanaomfuatilia. ·       Mwanafunzi arudishwa kwa wazazi wake kukwepa mkono wa Sheria. Na Ezekiel Kamanga, Mbeya. Mtu mmoja mkazi wa Kijiji cha Mpona Kata ya Totowe Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya anatuhumiwa kumwachisha masomo mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Totowe    kwa kumuoa  kisha kumpa ujauzito.   Mwananchi huyo aliyefahamika kwa jina la Shigala Mwachanya anatuhumiwa kutenda kosa hilo kwa kumpa ujauzito mwanafunzi...

WANANCHI WA KATA YA MAGAMBA WILAYANI CHUNYA WAIKATAA TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI YA KATA YAO

Kamanga na Matukio | 02:26 | 0 comments
Kapala  Chakupewa Makelele Diwani wa kata ya Magamba Chunya na pia ndiye mwenyekiti wa ccm na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya chunya ndiye taarifa yake ya mapato na matumizi imekataliwa na wananchi wake Kaimu mtendaji wa kata ya Magamba Festo Pandisha akijaribu kuwafafanulia vizuri taarifa hiyo ya mapato na matumizi  Wananchi wakiwa makini kuwasikiliza viongozi wao wakiwasomea mapato na matumizi ya kijiji chao Mwenyekiti...
Pages (14)1234567 Next
 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger