(3).jpg)
Rais wa shirikisho la soka nchini
TFF Leodger Chilla Tenga
=====
Rais wa shirikisho la soka nchini
TFF Leodger Chilla Tenga amewataka wadau wa soka kuwa katika hali ya utulivu,
katika kipindi hiki cha kuusubiri ujumbe wa shirikisho la soka duniani ambao
utakuja nchini mwezi ujao kwa ajili ya kutatua sakata la uchaguzi wa TFF.
Tenga ametoa rai hiyo kwa wadau,
baada ya hali ya utulivu wa soka kuingia dosari...