Pages


Hatarini kukubwa na Ugonjwa wa mlipuko kutokana na hali mbaya ya vyoo.

Kamanga na Matukio | 02:43 | 0 comments
  Wanafunzi wa shule ya msingi Nero Jijini Mbeya wako hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na hali ya vyoo wanavyotumia.  Hayo wameyasema hii leo wakati walipokua wakizungumza na mwandishi wetu wamesema hali ya vyoo shuleni hapo ni mbaya kutokana na  kujaa kwa takribani miezi saba hali inayowafanya kujisaidia vichakani na wengine kujisaidia pembeni ya tundu la choo.  Mmoja wa wanafunzi hao Memori...

Kamati ya uchaguzi ya TFF imeendelea imetoa taarifa ya kurekebisha orodha ya pingamizi iliyotolewa katika vyombo vya habari.

Kamanga na Matukio | 02:42 | 0 comments
Na Shaban Kondo, Kamati ya uchaguzi ya shirikisho la soka nchini TFF imeendelea imetoa taarifa ya kurekebisha orodha ya pingamizi iliyotolewa katika vyombo vya habari kwa kueleza iliacha pingamizi lililowekwa na Paul Mhangwa dhidi ya Mugisha Galibona na Vedastus Lufano ambao wanaomba nafasi ya ujumbe wa kamati ya utendaji ya TFF kupitia kanda ya pili (Mwanza na Mara). Kamati ya uchaguzi ya TFF iomeomba radhi kwa pingamizi hilo...

Chama cha wendesha bajaji mkoani Mbeya kimetoa misaada mbalimbali katika kituo cha kulea watoto yatima.

Kamanga na Matukio | 02:42 | 0 comments
Mwenyekiti wa umoja Bajaji Mbeya Bw.Idd Ramadhan  Chanzo:- Bomba FM 104.0MHz  Chama cha wendesha bajaji  mkoani Mbeya kimetoa misaada mbalimbali katika  kituo  cha kulea watoto yatima  cha malezi na huruma kilichopo katika eneo la simike kwa lengo la kurudisha shukrani kwa wateja wake Akizungumza na bomba fm mwenyekiti wa chama hicho  Idd Ramadhani amesema wamejiwekea mfumo wao kama chama cha...

SHITAMBALA KUONGOZA MAANDAMANO WANANCHI 5000 KUMVAA KANDORO KUPINGA KUHAMISHWA

Kamanga na Matukio | 02:41 | 0 comments
MJUMBE wa Halmashauri kuu CCM Taifa  Bw.Sambwee Sitambala Asema  yatakuwa ya amani bila  Vurugu Asema  sera ya  CCM ni kutetea  wananchi MJUMBE wa Halmashauri kuu CCM Taifa  Bw.Sambwee Sitambala  anatarajiwa kuongoza  maandamano  ya amani  ya wananchi  zaidi ya  5000 wa  mtaa  wa Gombe  kusini  kwenda  kwa mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya...

Meya Jiji la Mbeya asema wana mikakati juu ya kulijenga jiji la Mbeya.

Kamanga na Matukio | 02:14 | 0 comments
 Meya wa Jiji la Mbeya  Athanasi Kapunga, Chanzo Bomba FM, Mbeya. Mstahiki meya wa jiji la Mbeya Athanas Kapunga  amesema  kumekua na  tabia ya  kuwepo msongamano wa abiria katika vituo vya mabasi yaendayo mikoani visivyo rasmi hasa kituo kidogo cha magari eneo la Mwanjelwa. Akizungumza na Bomba FM amesema kuwa halmashauri ya jiji  imejipanga kushughulikia suala hilo na wana mikakati juu ya...

Chama cha madereva bajaji mkoani Mbeya kimedhamiria kurejesha shukrani zake kwa wateja

Kamanga na Matukio | 02:13 | 0 comments
Mwenyekiti wa umoja Bajaji mbeya Bw.Idd Ramadhan   Chama cha madereva bajaji mkoani Mbeya kimedhamiria kurejesha shukrani zake kwa wateja wake kwa makundi maalum kwa kutoa misaada mbalimbali Mwenyekiti wa chama hicho Idi Ramadhan amesema kwa kuanza chama hicho kitawatembelea watoto yatima katika kituo cha Isalaga kilicho Uyole Mbeya na zoezi hilo litafanyika kila mwisho wa mwezi. Wakati huohuo amewataka vijana kuungana...

Chama cha wachezaji wa kulipwa nchini Uingereza PFA, kimemkana winga kutoka nchini ubelgiji na klabu ya Chelsea Eden Hazard.

Kamanga na Matukio | 02:12 | 0 comments
   Eden Hazard   Na Shaban Kondo.  Chama cha wachezaji wa kulipwa nchini Uingereza PFA, kimemkana winga kutoka nchini ubelgiji na klabu ya Chelsea Eden Hazard kufuatia sakata la kumpiga kijana anaeokota mipira katika uwanja wa Liberty Charlie Morgan wakati wa mchezo wa pili wa hatua ya nusu fainali ya kombe la ligi uliochezwa usiku wa kuamkia jana. Chama cha wachezaji wa kulipwa nchini Uingereza PFA, kimemkana winga huyo...

Wadhamini wa ligi kuu ya soka Tanzani bara wametangaza kuwa tayari kwa kipyenga cha mzunguko wa pili wa ligi hiyo'

Kamanga na Matukio | 02:10 | 0 comments
Na Shaban Kondo. Wadhamini wa ligi kuu ya soka Tanzani bara wametangaza kuwa tayari kwa kipyenga cha mzunguko wa pili wa ligi hiyo kitakachopulizwa kuanzia Januari 26 mwaka huu. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es salaam, Meneja Mahusiano ya Nje wa Kampuni ya Vodacom inayodhamini ligi kuu, Salum Mwalim amesema kwamba kampuni yake inajisikia fahari kuona soka sasa inachezwa viwanjani zaidi na si nje hivyo wanatarajia...

TBL yakabidhi vifaa vya Michezo kwa Klabu kongwe nchini Simba na Yanga,

Kamanga na Matukio | 02:10 | 0 comments
Na Shaban Kondo,  Wadhamini wa klabu kongwe nchini Simba na Yanga, kampuni ya bia nchini TBL kupitia bia yake ya Kilimanjaro jana wamekabidhi vifaa vya michezo kwa viongozi wa klabu hizo kwa ajili ya mzunguuko wa pili wa ligi kuu ya soka Tanzania bara. Akikabidhi vifaa hivyo meneja wa bia ya Kilimanjaro George Kavishe amesema wanaamini klabu hizo kongwe zimejiandaa vyema na zipo tayari kwa mshike mshike wa ligi mzunguuko wa pili...

Kamati ya Rufani ya Uchaguzi ya Shirikisho la soka nchini TFF imeahidi wadau wa mchezo huo itafanya kazi zake kwa misingi ya haki.

Kamanga na Matukio | 01:27 | 0 comments
Na Shaban Kondo,  Kamati ya Rufani ya Uchaguzi ya Shirikisho la soka nchini TFF imeahidi wadau wa mchezo huo itafanya kazi zake kwa misingi ya haki katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mku wa TFF utakaofanyika jijini Dar es salaam Februari 24. Mwenyekiti wa kamati hiyo iliyoundwa baada ya waraka wa mabadiliko ya katiba ya TFF kupitishwa na wajumbe wa mkutano mkuu mwishoni mwa mwaka jana Idd Mtiginjola amesema...

TUKIWA BADO KATIKA UCHAGUZI WA TFF.

Kamanga na Matukio | 01:26 | 0 comments
Bwana Fredrick Mwakalebela aliekua Katibu Mkuu wa TFF  Aliekua katibu mkuu wa shirikisho la soka nchini TFF Fredrick Mwakalebela amezungumzia uchaguzi wa shirikisho hilo kwa kuitazama nafasi ya uraisi inayoonekana kutoa upinzani kwa Jamali Malinzi pamoja na Athumani Nyamlani ambae kwa sasa ni makamu wa kwanza wa raisi. Mwakalebela ambae alitenda kazi zake kwa uadilifu mkubwa akiwa TFF kabla ya kutangaza kuaiacha...

SHIRIKISHO la Soka barani Afrika-CAF limelitoza faini ya dola 10,000 Shirikisho la Soka la Ethiopia .

Kamanga na Matukio | 01:25 | 0 comments
SHIRIKISHO la Soka barani Afrika-CAF limelitoza faini ya dola 10,000 Shirikisho la Soka la Ethiopia baada ya mashabiki wake kutupa mavuvuzela pamoja na chupa za maji uwanjani wakati wa mchezo wao dhidi ya Zambia ambao walitoka sare ya bao 1-1 Jumatatu. CAF ilitangaza kuwa nusu ya adhabu hiyo ya dola 10,000 itasamehewa kama tu mashabiki wa Ethiopia hawatarudia tukio hilo katika kipindi chote cha mashindano. Ethiopia inayoshiriki michuano...
Pages (14)1234567 Next
 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger