Pages


TANGAZO LA KIFO CHA MTANGAZAJI WA BOMBA FM CLEMENCE MPEPO

Kamanga na Matukio | 10:51 | 0 comments
   TANGAZO: KWA MASIKITIKO MAKUBWA UONGOZI WA REDIO BOMBA FM, TUNATANGAZA KIFO CHA MFANYAKAZI WETU CLEMENCE MPEPO "MZEE WA MAKABILA" ALIYEFARIKI USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI. KWA TAARIFA ZAIDI TUTAENDELEA KUWAFAHAMISHA JUU YA UTARATIBU WA MAZISHI NA PIA ENDELEA KUSIKILIZA REDI...

Msanii Wa Bongo Movie John Maganga Azikwa.

Kamanga na Matukio | 01:52 | 0 comments
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM,  Nape Nnauye akitoa salam za Chama, kwenye msiba wa msanii, Joseph Maganga, Mwananyamala, Dar es salaam. Maganga alifariki Jumamosi hii  Nape (kulia) akiwa kwenye msiba huo   Msanii wa Bongo Movie,  Husna Maulidi 'Lishez', akitulizwa na wenzake, Babby Candy na  Ketty wakati akilia kwa uchungu, wakati wa kuaga mwili wa Msanii wa Bongo Movie, marehemu...

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYAHABARI “PRESS RELEASE”TAREHE 27/11/2012.

Kamanga na Matukio | 01:51 | 0 comments
WILAYA YA MBARALI - AJALI YA GARI KUMGONGA MTEMBEA KWA MIGUU NA KUSABABISHA KIFO MNAMO TAREHE 26.11.2012 MAJIRA YA 14:30HRS HUKO KATIKA KIJIJI CHA MLANGALI BARABARA YA MBEYA/IRINGA WILAYA YA MBARALI MKOA WA MBEYA. GARI DFP 7322 AINA YA NISSAN PATROL MALI YA BARAZA LA KILIMO DSM LIKIENDESHWA NA DEREVA JACKSON S/O PAUL LIKITOKEA MBEYA KUELEKEA IRINGA ILIMGONGA MTEMBEA KWA MIGUU AMBAYE BADO HAJAFAHAMIKA JINA WALA MAKAZI YAKE JINSIA YA KIUME MWENYE UMRI KATI YA MIAKA 25- 30 NA KUSABABISHA KIFO CHAKE PAPO HAPO . CHANZO CHA AJALI NI MWENDO KASI. MWILI WA MAREHEMU UMEHIFADHIWA KATIKA HOSPITALI YA MISSION CHIMALA. DEREVA AMEKAMATWA. TARATIBU ZA KUMFIKISHA MAHAKAMANI ZINAFANYWA. KAMANDA WA POLISI...

KESI INAYOMKABILI MWEKEZAJI WA SHAMBA LA MPUNGA LA KAPUNGA RICE PROJECT YAAHIRISHWA

Kamanga na Matukio | 01:50 | 0 comments
Na Ezekiel Kamanga, Mbeya MAHAKAMA ya hakimu mfawidhi  Mkoa  wa Mbeya  imeahirisha  Kesi inayomkabili mwekezaji wa shamba la Mpunga la Kapunga Rice Project lililopo Wilayani Mbarali ya kuharibu mazao  ya wakulima kwa sababu ya kukosekana mkalimani  wa lugha ya kiingereza  na Kiswahili. Mwezi February 2012 Serikali ilimfikisha mahakamani mwekezaji huyo katika mahakama ya Wilaya ya Mbeya kwa makosa mawili ya kula njama na kutenda kosa kuharibu mai za Wananachi na kusababisha hasara ya zaidi ya shs 800 milioni. Iidaiwa mahakamani hapo kuwa mwekezaji huyo alitenda kosa kati ya Januari 12 hadi 14 mwaka huu ambapo alimwaga sumu katika mashamba  hekari...

ASKARI ALIYEFANYA MAPENZI NA MTUHUMIWA WA KIKE KATIKA KITUO CHA POLISI AFUKUZWA KAZINI

Kamanga na Matukio | 01:49 | 0 comments
Na Ezekiel Kamanga, Mbeya. JESHI  la polisi  Mkoani  Mbeya  limefukuza kazi Askari wake Enock Daffa (22)  kwa tuhuma  za kufanya  mapenzi  na mtuhumiwa wa kike  mwenye umri wa miaka 25 katika kituo cha polisi cha mji mdogo wa Tunduma Wilaya ya Momba Mkoani hapa. Kwa mujibu wa  kamanda wa polisi Mkoa wa Mbeya  Athuman Diwani   askari huyo alitenda kosa hilo Novemba 21,2012 na kwamba  mtuhumiwa aliyefanya naye mapenzi alikuwa  anakabiliwa na kosa la wizi. Kamanda Athumani alisema kuwa mbali ya kufukuzwa kazi askari huyo tayari amefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Mbozi ili sheria iweze kuchukua mkondo...

KAMANDA WA POLISI ATHIBITISHA:SHARO MILLIONEA AFARIKI DUNIA

Kamanga na Matukio | 01:26 | 0 comments
  Kuna habari kuwa msanii  Hussein Ramadhani aliyekuwa maarufu kwa jina la Sharo Millionea, msanii wa muziki na maarufu katika kuwepo kwake katika matangazo kwa style ya aina yake amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Tanga.   Kamanda wa Polisimkoani Tanga, Constatine Masawe amekiri kutokea kwa msiba wa Sharobaro, baada ya kupata ajali katika kijiji cha Lusanga, Muheza ambapo pia...

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI “PRESS RELEASE” TAREHE 22/11/2012.

Kamanga na Matukio | 01:52 | 0 comments
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; ...

ASKARI 10 WANAOSADIKIKA KUWA NI ASKARI WA JWTZ KIKOSI CHA 44 KJ WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI.

Kamanga na Matukio | 01:49 | 0 comments
Hawa Mathias,Mbeya. Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia  watu 10 wanaosadikiwa kuwa ni askari wa jeshi la wananchi  (JWTZ) kikosi cha 44 Kj  kambi ya mji mdogo wa Mbalizi  kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya kijana  Petro Sanga(25)  kwa kumchoma kisu shingoni na mdomoni na  wengine sita kujeruhiwa  kwa kumshambulia kwa kipigo. Taaarifa iliyotolewa katika vyombo vya habari na Kamanda wa polisi Mkoani Mbeya Diwani Athuman zilieleza kuwa  tukio hilo lilitokea  novemba 18 majira ya 3.00 za usiku  ambapo marehemu alikuwa akipata kinywaji  katika baa ya power night club. “Awali...

MWANAMKE AIBA SIMU KANISANI, IBADA YASIMAMA KWA MUDA.

Kamanga na Matukio | 01:48 | 0 comments
Stephano Simbeye, Mbozi - Mbeya Katika hali isiyo ya kawaida Kanisa la Moraviani Usharika wa Tunduma, juzi ilibidi lisitishe kwa muda ibada, baada ya msichana mmoja Tumaini Mbembela (18) ambaye ni mama lishe mjini hapa, kukutwa ameficha simu ya muumini mwenzake katika kitenge cha kumbebea mtoto wa aliyemwibia.Tukio hilo lilitokea Jumapili katika ibada ya kawaida iliyokuwa ikiongozwa na mchungaji wa kanisa hilo Atumigwe Msokwa,mara baada ya kuwaruhusu waumini wake wafanye toba kufuatia mahubiri yaliyotolewa na Mwinjilisti Bumijael Mshana.Watu walioshuhudia tukia hilowalidai kumuona msichana huyo akiangaika kuificha simu hiyo , aina ya TECNO yenye thamani y ash.50,000 mali ya Mboka...

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII YAJIPANGA KUKABILIANA NA HALI YA USAFI WA MAZINGIRA NCHINI.

Kamanga na Matukio | 02:18 | 0 comments
Hawa Mathias,Mbeya. Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii imejipanga na kuweka mikakati  kushirikiana na wadau mbalimbali  ili kukabiliana na hali ya usafi wa mazingira  nchini na kuhakikisha jamii inatumia vyoo safi na salama  na kuondokana na adha ya kukumbwa na magonjwa ya milipuko hususan kipindupindu. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi msaidizi,afisa afya mkuu Tanzania  wa wizara ya afya na ustawi wa jamii Elias Chinamo katika maadhimisho ya siku ya choo duniani yaliyofanyika  wilayani rungwe Mkoani Mbeya. Alisema kuwa ili kufikia malengo ya mileniam ya utunzaji wa usafi wa mazingira jamii inatakiwa kuwa na mwamko wa kujikita katika kutunza hali ya mazingira ...

WAWILI WAKUTWA NA SILAHA AKIWEMO MWANAMKE- MBARALI.

Kamanga na Matukio | 02:17 | 0 comments
 Hawa Mathias,Mbeya. Jeshi la polisi Mkoani Mbeya linawashikiliwa watu wawili akiwemo mwanamke  wakazi wa kijiji cha Madibila  na Mkunywa Wilayani mbarali kwa tuhuma za kupatika na silaha pamoja na nyara za serikali  kinyume cha sheria. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari  na  kamanda wa polisi Mkoani Mbeya Athuman Diwani alisema kuwa watuhumiwa hao walikamtwa kwa nyakati tofauti  na askari wa wanayamapori (TANAPA) na akari wa jeshi la polisi walipokuwa katika doria za kusaka waharifu Alisema kuwa katika tukio la kwanza  Christian Mhangole (40) mkulima alikamatwa na polisi akiwa na  siraha aina ya SMG   yenye...

JWTZ MBEYA WAUA BAADA YA MWENZAO KUPIGWA NA WALIINZI WA MADUKA

Kamanga na Matukio | 02:16 | 0 comments
Habari na Mwandishi wetu.  Watu wawili wanadaiwa wamefariki dunia na wengine watatu wamejeruhiwa baada ya kuigwa na watu wanadaiwa kuwa ni askari wa JWTZ. Akiongea na Mtandao huu kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya DIWANI ATHUMAN amesema katika vurugu hizo mmtu mmoja ndiye aliyeripotiwa amefariki dunia hadi saa ambaye naye bado hajafahamika mara moja na kuongeza kuwa wengine watatu wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali...
Pages (14)1234567 Next
 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger