Pages


MADAKTARI 72 WA HOSPITALI YA RUFAA WALIOGOMA WATIMULIWA KAZI -MBEYA

Kamanga na Matukio | 05:21 | 0 comments
 Mwenyekiti wa Bodi Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dk. Norman Sigalla akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kuhusu kufukuzwa kazi kwa madaktari hao. Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari,wakifuatilia taarifa kamili za madaktari waliofukuzwa kazi Mkoani Mbeya. Mkurugenzi wa wa hospitali ya rufaa Mbeya Dr  E. Sankey akimsikiliza kwa makini kaimu mkuu wa mkoa Mbeya ******* Habari na Godfrey Kahango,Mbeya. Sakata ...

AGOMA NDUGUYE KUZIKWA KATIKA JENEZA.

Kamanga na Matukio | 05:19 | 0 comments
Habari na Ezekiel Kamanga,Mbeya. Mkazi wa Kitongoji cha Mayewa,Kijiji cha Masanyila,Kata ya Igamba,Wilaya ya Mbozi Mkoani Mbeya amegoma mwili wa nduguye  marehemu Onesha Nkota(Shilomanda) mwenye umri kati ya miaka 75 mpaka 80 kuzikwa katika jeneza. Sakata hilo lililotokea Juni 27 mwaka huu majira ya saa nane mchana baada ya marehemu kufariki na Serikali ya kijiji chini ya Mwenyekiti  wake Bwana Nelson Mgode ulifanya jitihada za kuchonga jeneza lilogharimu shilingi 40,000 na kuliwasilisha nyumbani kwa marehemu kwa ajili ya maziko. Lakini badala ya kushukuru kwa wanakijiji kwa msaada huo,ndugu huyo wa marehemu alilikataa akidai kuwa kutokana na umri mkubwa...

WANANCHI WA KIJIJI CHA ISYONJE WAUVUA UONGOZI MADARAKANI,KUTOKANA NA KUIKATAA TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI.

Kamanga na Matukio | 05:19 | 0 comments
Hii ni barua ya kukiri ufujaji wa pesa. *Mtunza hazina akiri kufuja fedha za kijiji. *Mkutano wavurugika. *Waunda kamati ya kusimia kijiji hicho. *Diwani afunga mkutano.  ******* Habari na Ezekiel Kamanga,Rungwe. Wananchi wa Kijiji cha Isyonje,Kata ya Isongole,Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya wamemvua uongozi,mwenyekiti wa kijiji hicho Bwana Venance Daima na halmashauri ya kijiji kizima kwa tuhuma za ubadhilifu wa mali na kutosimamia...

NYUMBA YA KULALA WAGENI YATEKETEA KWA MOTO - CHUNYA MKOANI MBEYA.

Kamanga na Matukio | 05:18 | 0 comments
Habari na Ezekiel Kamanga,Mbeya. Nyumba ya kulala wageni ijulikanayo kwa jina la Half London,inayomilikiwa na Bwana Raphael Mwasongole,mkazi wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya imeteketea kwa moto. Tukio hilo limetokea majira ya saa 7 usiku Juni 28 mwaka huu na kusababisha moto mkubwa ulioteketeza vyumba zaidi ya 20 na kila kitu kilichokuwemo ndani yakiwemo magodoro na samani huku watu walikuwemo wamelala kunusurika kifo,baada ya kuvunja milango na madirisha na kubeba mizigo yao. Kwa mujibu wa mmiliki wa nyumba hiyo Bwana Mwasongole,amesema ameshindwa kumudu kuuzima moto huo kutokana na uhaba wa maji na gari ya Zimamoto wilayani humo,ambapo moto huo uliendelea mpaka majira...

AFA BAADA YA KUJIFUNGIA NDANI NA KUJICHOMA KWA MOTO.

Kamanga na Matukio | 05:17 | 0 comments
Habari na Ezekiel Kamanga,Mbeya. Mkulima na mkazi wa Kijiji cha Iziwa Wilaya ya Mbeya Vijijini Bi.Eva Tume(38),amefariki dunia baada ya kukusanya nguo zote na vyombo vyote ndani ya nyumba kisha kufunga mlango na kujichoma moto na kuteketea mwili wote. Tukio hilo limetrokea Juni 26 mwaka huu,majira ya saa 12 jioni mara baada ya mumewe aitwaye Tume Mwalingo,ambaye ni mlinzi kuondoka nyumbani hapo na kuelekea kazini. Aidha Mwenyekiti wa Kitongoji cha Iwambala Bwana Asikile Mtafya,amesema siku hiyo majira ya mchana marehemu alionekana maeneo kadhaa akiwa mwenye hasira. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya Diwani Athuman,amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba marehemu...

HUKU NA KULE NA MATUKIO TOFAUTI MKOANI MBEYA.

Kamanga na Matukio | 05:35 | 0 comments
  Mkazi wa Ilolo Jijini Mbeya,akiwa kwenye bustani ya mboga akifanya maboresho ya mboga kwa kupapalia,eneo hilo ni maarufu kwa kilimo cha mboga mboga ambapo kwa asilimia kubwa wakazi wa jiji la Mbeya hupata mahitaji ya mboga kutoka eneo hilo. Watoto wakiwa wamebeba miwa kama walivyokutwa,umri wa watoto hao wanatakiwa kuwepo shule lakini wengi wao hawaendi shule na kuwa watoto wa mitaani,kutokana na ugumu wa maisha wazazi kukosa...

MFUME DUME WAATHIRI HALI YA UCHUMI KWA WANAWAKE.

Kamanga na Matukio | 05:34 | 0 comments
Habari na Ester Macha,Mbeya. Kushamiri kwa mfumo dume katika wilaya ya Mbeya kunaathiri kwa kiasi kikubwa hali ya kiuchumi kwa wanawake ambao ndio nguvu kazi kubwa katika kilimo, kipato wanmachopata baada ya mavuno huishia mikononi mwa wanaume wanaojihusiusha na vitendo vya starehe na kusahau malezi ya familia zao. Uchunguzi uliofanywa na Majira kwa takribani wiki moja  kwa msaada wa mtandao wa jinsia Tanzania (TGNP)umegundua kuwepo kwa vitendo vya unyanyasaji na ukatili wanavyofanyiwa wanawake wa vijiji vya Ifiga,Iwalanje na Nsongwi juu  Kata ya Ijombe vinavyotokana na nguvu ya wanaume ya kuhodhi mali zilizopatikana kwa kuwashirikisha wanawake. Mmoja wa awanawake wa Kijiji...

KIONGOZI WA SERIKALI AONDOLEWA MADARAKANI KWA UBADHILIFU WA MALI ZA KIJIJI - MBEYA

Kamanga na Matukio | 05:33 | 0 comments
Habari na Bosco Nyambege,Rungwe. Wananchi wa kijiji cha Bumbiji kata ya Isange Mwakaleli wilayani Rungwe mkoani Mbeya wamejikuta wakimwondoa mwenyekiti wa kijiji hicho baada ya kujihusisha na ubatilifu wa mali za kijiji hicho. Akizungumza na kituo hiki afisa mtendaji wa kijiji hicho ASWILE MWALUKASYA amesema wananchi hao wameamua kufanya hivyo kutokana na kutokuwa na imani na kiongozi huyo kutokana na ufujaji wa fedha za kijiji kiasi cha shilingi laki tano. Mwalukasya ameongeza kuwa mwenyekiti huyo anagubikwa na tuhuma za uharibifu wa mali ya kijiji kama simenti yenye thamani ya shilingi laki mbili pamoja nauuzaji wa miti ya kijiji hicho yenye thamani ya shilingi laki tatu ambayo ilikuwa...

SIKU 4 BAADA YA KITUO CHA AFYA KUZINDULIWA KWA MBIO ZA MWENGE WAUGUZI WATOWEKA - MBEYA.

Kamanga na Matukio | 03:40 | 0 comments
  Baadhi ya dawa zilizotelekezwa na wauguzi baada ya kukiacha kituo cha kazi,siku nne baada ya mwenge wa uhuru kukizindua kituo hicho(Picha na Ezekiel Kamanga)..  *Dawa zakabidhiwa kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kijiji. *Wanawake wawili ambao ni wajawazito wajifungulia njiani.  ****** Habari na Ezekiel Kamanga,Chunya. Wakati Serikali ikiendelea na mchakato wa kuhakikisha huduma za kijamii zinasogezwa...

DKT. ULIMBOKA ASIMULIA TUKIO

Kamanga na Matukio | 03:40 | 0 comments
Pichani aliyesimama mwenye shirt jeupe ndie Dr Ulimboka wakati amabaye ni Kiongozi wa chama cha madaktari Tanzania Dk. Steven Ulimboka amefikishwa MOI baada ya kuokotwa akiwa mahututi eneo la Mabwepande. Picha za majeruhi yake ndio hiyo hapo chini.  Mweneyikiti wa Jumuia ya Madaktari nchini Dk Stephen Ulimboka, amepigwa na kujeruhiwa vibaya na watu wasiofahamika.  Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamanda...

CCM:- WANACHAMA WENYE TUHUMA ZA UFISADI WATAENDELEA KUTOLEWA MADARAKANI.

Kamanga na Matukio | 05:24 | 0 comments
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),alipokuwa ametembelea Chuo Kikuu Cha Teofilo Kisanji(TEKU). *******  Habari na Angelica Sullusi,Mbeya. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema bado kinaendelea na mchakato wa kuwaondoa madarakani wanachama wake wenye tuhuma za ufisadi na wale wasiokuwa na maadili mazuri kwa jamii, maarufu kwa jina la kuvua gamba. Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu wa...

MGOMO WA MADAKTARI KUTISHIA KUSITISHA MIKATABA YAO HUSUSANI WALIOPO KWENYE MAFUNZO - MBEYA.

Kamanga na Matukio | 05:22 | 0 comments
Habari na Angelica Sullusi,Mbeya. Sakata la Mgomo wa Madaktari limeingia katika sura mpya Mkoani Mbeya baada ya Bodi ya Hospitali ya Rufaa Mbeya ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kutishia kusitisha mikataba ya madaktari waliogoma hasa wale ambao wako kwenye mafunzo ya vitendo. Akizungumza kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali hiyo, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk. Norman Sigalla amewaambia waandishi wa habari leo kuwa Bodi imefikia uamuzi huo baada ya kuona  madaktari hao wamevunja mkataba wao na hospitali hiyo ambao unawataka kufanya kazi bila kugoma. Aidha, amesema kabla ya kuwaandikia barua hiyo, juzi bodi ya Hospitali ilikutana na kuwaita...

WAUGUZI WAINGIA MITINI BAADA YA MBIO ZA MWENGE - MBEYA

Kamanga na Matukio | 05:16 | 0 comments
 Zahanati ya Kijiji cha Mponwa,Kata ya Totowe,Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya iliyofunguliwa katika mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa,imetelekezwa baada ya Wauguzi wawili kuondoka siku nne baada ya kituo hicho kuzinduliwa Mei 12,Mwaka huu na Kiongozi wa mbio za Mwenge Keptani Honest Erenest Mwanossa. Aidha,madawa mbalimbali ya afya za binadamu yamefungiwa ndani na funguo kukabidhiwa Afisa Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wake,ambapo dawa hizo...

KESI YA MWANAFUNZI WA TEKU ALIYEUAWA NA POLISI KUANZA KUSIKIKA MAHAKAMA KUU HIVI KARIBUNI - MBEYA

Kamanga na Matukio | 03:23 | 0 comments
 Baadhi ya majeraha yaliyotokana na kipigo kwenye mwili wa marehemu Daniel  Godluck Mwakyusa (31) ambaye alikuwa mwanachuo wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji(TEKU),Mbeya aliyeuawa na Askari wa Jeshi la Polisi mkoani hapa tarehe 14/02/2012 katika sikukuu  ya wapendanao {valentine day]. ****** Habari na Mwandishi wetu. Kesi ya mwanafunzi anayedaiwa kuuawa na Polisi Mkoani Mbeya,itaanza kusikika Juni 27 mwaka huu katika Mahakama...

KIGANJA CHA MFANYABIASHARA KILICHOKATWA CHAMSABABISHIA KIFO MWENYEJI.

Kamanga na Matukio | 03:23 | 0 comments
Habari na Ezekiel Kamanga,Chunya. Mkazi wa Kijiji cha Mpona Malanfali,Kata ya Totowe,Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya Mwile Hassan(23),ameuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kutuhumiwa kumkata kiganja mfanyabiashara Bi.Judith Mpamba(47),mkazi wa Kijiji cha Iwindi,Kata ya Iwindi Wilaya ya Mbeya Vijijini mkoani hapa. Marehemu alikamatwa usiku Juni 21 mwaka huu,akidaiwa kumkata kiganja mfanyabiashara huyo wa ufuta aliyefika kijijini hapo akiwa na mwenzie Bwana Helman Mwalindu(37) ambao walifika kijijini hapo kwa lengo la kununua ufuta. Marehemu Mwile akiwa na mtuhumiwa mwenzake Bwana Frank Nzovu(Tembo) ambaye alitokomea kusikojulikana na ni mwenyeji wa Kijiji cha Ikonya,Wilaya...

BREAKING NEWS:-MAFUTA AINA YA DIESEL ZAIDI YA LITA 3,500 YAIBIWA.

Kamanga na Matukio | 05:15 | 0 comments
*Madumu 211 yakamatwa na mapipa 16 katika nyumba za makazi, mtaa wa Mwaka,Mji mdogo wa Tunduma na Jeshi la polisi lashindwa kuyatolea maamuzi. Vijana wafanya vurugu wakitaka kuyateka wakati mafuta hayo yakirudishwa kambini. *Vijana wapangwa na kiongozi wa Chama pinzani ilikuvunja vibanda zaidi ya 30 vya biashara vilivyopo karibu na eneo la makaburini Tunduma.Mkuu wa Wilaya ya Momba aingilia kati. *Uongozi wa serikali ya kijiji wauza miazi ya kijiji kwa shilingi 1,600,000 wananchi wazuia gari la mteja wadai ni hujuma,viongozi wa kijiji watokomea kusikojulikana. ...

Ronaldo aipeleka Portuguese nusu fainali

Kamanga na Matukio | 05:01 | 0 comments
Mchezaji wa Czech Republic's Theodor Gebre Selassie (shoto) wakigombania mpira na mchezaji wa Portugal's Cristiano Ronaldo kipindi cha kwanza katika ya robo fainali ya Uefa Euro 2012, Bao la ushindi lilipatikana katika dakika ya 79 kwa kicha kikali alichofunga Cristiano Ronaldo dhidi ya Czech Republic, na kusabisha  ushindi wa 1-0 huku wakiwa wanasubiri, fahari wawili kati ya Spain na France, katika mechi ya robo fainali itakayochezwa...

MWENYEKITI WA KIJIJI ATAFUNA PESA ZA ZAHANATI YA KIJIJI.

Kamanga na Matukio | 05:00 | 0 comments
*Afisa mtendaji wa Kata akaa kwenye kituo zaidi ya miaka 20. *Afisa Mtendaji wa Kijiji naye ajimegea shilingi 380,000. Mkataba wa ahadi ya kulipa fedha kwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Masanyila,anaedaiwa kufuja pesa taslimu shilingi 2,350,000 za zahanati ya kijiji.****** Habari kamili na Ezekiel Kamanga,Mbeya.  Mwenyekiti wa Kijiji cha Masanyila,Kata ya Igamba,Wilaya ya Mbozi Mkoani Mbeya Bwana Chepson Mkanjilwa,anatuhumiwa kuiba...

YACHEKESHA LAKINI PIA YASIKITISHA,UBISHI WACHANGIA PIA AJALI YA CANTER - MBEYA.

Kamanga na Matukio | 04:58 | 0 comments
 Gari aina ya Canter Toyota ikiwa imetumbukia katika mto Jianga maeneo ya Ilolo Jijini Mbeya,  baada ya kuvunjika kwa daraja na katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa. Lakini wakazi wa eneo hilo walieleza kwamba daraja hilo ni bovu toka muda mrefu na viongozi wao hawajafanya jitihada zozote juu ya ubovu huo.( picha na Godfrey Kahango).  Mmmh jamani hatari Wakazi wa eneo la jirani na tukio la ajali waliofika...

CHUPUCHUPU DIWANI WA UPINZANI KUPATA KIPIGO MKOANI MBEYA

Kamanga na Matukio | 04:57 | 0 comments
Na. Shomi Mtaki, Tunduma Tabia ya viongozi wa Chadema kuchanganya masualaya yaushabiki wa kisiasa na kufitinisha wananchi na viongozi wa Chama  Cha Mapinduzi (CCM) katika mikutano yake vya hadhara pamoja na vikao vya baraza la halmashauri ya mji wa Tunduma wlayani Momba, nusura kiongozi mmoja wa chama apate kipigo. Kiongozi huyoi Frank Mwakajoka ambaye ni diwani wa kata ya Tunduma (Chadema), alinusulika kipigo hichojana ...
Pages (14)1234567 Next
 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger