Pages


MAHABUSU MWINGINE ALIYETOROKA BAADA YA KUCHIMBA UKUTA AKAMATWA.

Kamanga na Matukio | 01:51 | 0 comments
  Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya. Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 st1\:*{behavior:url(#ieooui) } /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; ...

AIBA KUKU NA KUAMRISHWA KULA KINYESI CHABINADAMU NA KUACHIWA HURU.

Kamanga na Matukio | 01:46 | 0 comments
Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 st1\:*{behavior:url(#ieooui) } /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times New Roman"; mso-ansi-language:#0400; mso-fareast-language:#0400; mso-bidi-language:#0400;} Habari na Ezekiel Kamanga, MbeyaMkazi mmoja wa Mbalizi, Wilaya ya Mbeya Vijijini Bwana Musa Mwambapa (25), amelazimishwa...

SOLAR POWER ILIYOZINDULIWA NA RAIS KIKWETE YAIBIWA.

Kamanga na Matukio | 01:44 | 0 comments
Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times New Roman"; mso-ansi-language:#0400; mso-fareast-language:#0400; mso-bidi-language:#0400;} Habari na Ezekiel Kamanga, Mbozi.Afisa mtendaji wa Kijiji cha Halungu, Wilaya ya Mbozi, Mkoani Mbeya aliyefahamika kwa jina moja la Mkoma, ametoroka...

WANANCHI WAIKATAA TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI YA KIJIJI CHAO - MBOZI.

Kamanga na Matukio | 01:43 | 0 comments
Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times New Roman"; mso-ansi-language:#0400; mso-fareast-language:#0400; mso-bidi-language:#0400;} Habari na Ezekiel Kamanga, Mbozi.Wananchi wa Kijiji cha Hampangala, Wilayani ya Mbozi, Mkoani Mbeya wameikataa taarifa ya mapato na matumizi ya kijiji,...

WAHAMIAJI HARAMU WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI.

Kamanga na Matukio | 01:40 | 0 comments
Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 st1\:*{behavior:url(#ieooui) } /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times New Roman"; mso-ansi-language:#0400; mso-fareast-language:#0400; mso-bidi-language:#0400;} Habari na Ezekiel Kamanga, Mbozi.Raia 7 wa nchi ya Somalia na mmoja wa nchi ya Kenya wamefikishwa katika Mahakama ya...

RC MBEYA AWATAKA MAAFISA ELIMU, KUHAKIKISHA WALIMU KWENDA MASOMONI KWA AWAMU.

Kamanga na Matukio | 01:38 | 0 comments
Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 st1\:*{behavior:url(#ieooui) } /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times New Roman"; mso-ansi-language:#0400; mso-fareast-language:#0400; mso-bidi-language:#0400;} Habari na mwandishi wetu.Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abasi Kandoro amewataka maafisa elimu wa shule za msingi na Sekondari...

WALIMU WAANDAMANA WAKIDAI MALIMBIKIZO YA MISHAHARA NA POSHO JIJINI MBEYA

Kamanga na Matukio | 01:34 | 0 comments
Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 st1\:*{behavior:url(#ieooui) } /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times New Roman"; mso-ansi-language:#0400; mso-fareast-language:#0400; mso-bidi-language:#0400;} Habari na mwandishi wetu.Waalimu wa ajira mpya wa shule za msingi na Sekondari jijini Mbeya hivi karibuni wameandamana...

UJENZI WA SOKO LA KISASA MKOANI MBEYA WASUA SUA.

Kamanga na Matukio | 01:30 | 0 comments
Habari na Bomba FM, Mbeya.Umoja wa wafanyabiashara katika soko la mwanjelwa jijini mbeya wamelalamikia kutokamilika kwa soko hilo. mwenyekiti wa umoja huo Charles Syonga amesema muda ulioongozezwa wa miezi sita umekamilika mwezi Februari mwaka huu lakini hakuna dalili za kukamilika kwa soko hilo. aidha amesema kumekuwepo kwa taarifa za ugawaji wa siri wa vyumba vya biashara ndani ya soko hilo na kuzua kwa malamiko kutoka kwa wafanyabiashara wengine. Naye katibu wa umoja huo Janson Mtupwa amesema kutokana na hali hiyo wafanyabiashara hao wanalazimika kulipa riba za mikopo bila ya kuwa na uzalishaji unaofaa. Kaimu mkurugenzi wa jiji la Mbeya Dokta Samweli Lazaro amesema hakuna ugawaji wa vyumba...

WALIMU 50 WALALA CHUMBA KIMOJA WAKIDAI MAFAO YAO WILAYANI MBOZI – MBEYA.

Kamanga na Matukio | 05:30 | 0 comments
Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 st1\:*{behavior:url(#ieooui) } /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; ...

SERE MBOVU ZA CCM ZIMECHANGIA KUONGEZEKA KWA UMASIKINI ULIOKITHIRI KWA WANANCHI VIJIJINI - MBEYA.

Kamanga na Matukio | 05:06 | 0 comments
Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times New Roman"; mso-ansi-language:#0400; mso-fareast-language:#0400; mso-bidi-language:#0400;} Habari na Angelica Sullusi, Mbeya.Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zuberi Zitto Kabwe amesema sera mbovu za Chama Chama...

BREAKING NEWS:- WALIMU WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI MBOZI WAANDAMANA KUDAI MAFAO YAO & MTOTO AZIKWA KISIMANI.

Kamanga na Matukio | 05:01 | 0 comments
1. *Walimu wakesha chumba kimoja wakifuatilia mafao yao Wilayani Mbozi.* DC, Mkurugenzi na Afisa Utumishi wawakimbia. *Walimu wasema hawaondoki mpaka kieleweke. 2 *Mtoto azikwa kisimani baada ya kushindikana kwa juhudi za kumwokoa Wilayani Kyela. *****Kwa habari zaidi usikose kutembelea mtandao huu***** &nb...

YALIYOJILI KATIKA SIKU YA MAADHIMISHO YA KIFUA KIKUU DUNIANI - MBEYA

Kamanga na Matukio | 04:33 | 0 comments
 Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Bwana Evans Balama, akihutubia katika mkutano wa kilele cha maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu duniani yaliyofanyika kiwilaya Kata ya Iwindi Mbeya Vijijini.Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Bwana Evans Balama,akikagua moja ya mabanda ambayo huduma ya vipimo vya ugonjwa wa Kifua Kikuu ilikuwa ikitolewa. Bwana Weston Asisya wa Asasi ya MMRP akisisitiza moja ya ujumbe wa mwaka huu.Wananchi wa Kata ya Iwindi na vitongoji jirani...

ASHITAKIWA KWA WIZI - MBOZI

Kamanga na Matukio | 04:29 | 0 comments
Habari na Ezekiel Kamanga, Mbozi. Mwananchi mmoja Enn Sichone (22) mkazi wa Old Vwawa, Wilaya ya Mbozi, Mkoani Mbeya, amefikishwa mbele ya mahakama ya mwanzo kujibu shtaka la wizi. Akisoma shtaka hilo mwendesha mashtaka wa mahakama hiyo PC Lugano Mwampulule, mbele ya Hakimu mfawidhi wa mahakama ya mwanzo Ismael Karuta amesema mshtakiwa ametenda kosa hilo Machi 13 mwaka huu majira ya saa 12 kamili jioni. Mtuhumiwa aliiba starter moja ya gari, radiator 2 za gari zinazomilikiwa na Bwana Said Salum wa Vwawa vyote vikiwa na thamani ya shilingi laki nane(800,000/=). Hata hivyo mshtakiwa Enn amekana kutenda kosa hilo na keshi hiyo imeahirishwa hadi April 10 mwaka huu na hivyo kurejeshwa mahabusu...

AUAWA KWA WIZI WA PIKIPIKI - MBEYA VIJIJINI

Kamanga na Matukio | 04:28 | 0 comments
Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya Vijijini. Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ford Mwakambonja (41) mkulima na mkazi wa Nyalwela, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Mkoani Mbeya ameuawa na wananchi wenye hasira kali kwa tuhuma za kuiba pikipiki. Tukio hilo lemetokea majira ya saa tisa alasiri katika Kijiji cha Kimondo wilayani humo, ambapo kundi la wananchi walimkamata marehemu akiwa na pikipiki aliyoiiba mali ya Bwana Pius Jonas, kisha kumpika na kumuua papo hapo. Wananchi hao hawakuishia hapo baada ya kumuua Ford na mwili wake kuuteketeza kwa kuuchoma moto na pikipiki aliyoiiba ikihifadhiwa katika Ofisi ya Afisa mtendaji wa Kata ya Kimondo. Kwa upande wake Kamanda wa Polisi mkoani hapa Advocate...

WAKULIMA WAIOMBA SERIKALI KUYARUSU MAKAMPUNI YA UNUNUZI WA ZAO LA PARETO ILI KULETA USHINDANI WA BEI - MAKETE

Kamanga na Matukio | 04:27 | 0 comments
Habari na Angelica Sullusi, Njombe. Wakulima Wilayani Makete Mkoani Njombe wameiomba Serikali wilayani humo kuyaruhusu makampuni mbalimbali ya ununuzi wa zao la Pareto yaliyopata vibali ili kuleta ushindani wa bei ya zao hilo kwa manufaa ya mkulima. Wakizungumza na mwandishi wetu kwa nyakati tofauti baadhi ya wakazi wa Kata za Ipelele na Iniho wamesema kuwa miaka miwili iliyopita kulikuwa na mnunuzi mmoja ambaye ni Kapuni ya Pareto Tanzania(PCT) yenye makao yake makuu mjini Mafinga,mkoani Iringa. Wamesema kuwa bei ya pareto kwa kilo moja walikuwa wakiuza kati ya shilingi 1200 hadi 1600 kabla ya kupanda bei ambapo kwa sasa wanauza shilingi 1800 kwa kilo moja katika kapuni ya PCT. Augustino...

WIMBI LA UBAKAJI LABEBA SURA MPYA, ABAKA MTOTO WA MIAKA MIWILI – MBEYA.

Kamanga na Matukio | 05:04 | 0 comments
Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 st1\:*{behavior:url(#ieooui) } /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times New Roman"; mso-ansi-language:#0400; mso-fareast-language:#0400; mso-bidi-language:#0400;} Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya.Wimbi la ubakaji kwa watoto mkoani Mbeya limechukua sura mpya baada ya mkazi mmoja...

KITUKO:- ALISHWA KINYESI MBELE YA MKEWE.

Kamanga na Matukio | 05:03 | 0 comments
Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 st1\:*{behavior:url(#ieooui) } /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times New Roman"; mso-ansi-language:#0400; mso-fareast-language:#0400; mso-bidi-language:#0400;} Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya.Watu wawili wakazi wa Kijiji cha Isansu, Kata ya Vwawa, Wilaya ya Mbozi, Mkoani Mbeya...

MTUHUMIWA ALIYETOROKA MAHABUSU AKAMATWA

Kamanga na Matukio | 04:59 | 0 comments
Kituo cha Polisi Kati kilichopo Jijini Mbeya. ******* Habari na Ezekiel Kamanga, MbeyaManeno Wiwa Kalinga mmoja wa mahabusu waliotoroka wiki iliyopita katika Kituo cha Polisi Kati, Mkoani Mbeya amekamatwa akiwa mafichoni Wilayani Mbozi. Mtuhumiwa huyo amekamatwa majira ya saa 10 alfajiri katika kijiji cha Ruanda wilayani humo. Kukamatwa kwake kumetokana na msako mkali uliofanywa na Jeshi la polisi  mkoani hapa, mara baada ya kutoroka kwa kuchimba...

MTOTO ABAKWA NA ASKALI KISHA AFUNGIWA NDANI KWA MUDA WA SIKU TATU - MBEYA.

Kamanga na Matukio | 06:11 | 1comments
Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya.Askali mmoja aliyefahamika kwa jina la utani Zungu ,mkazi yake mji mdogo wa Mbalizi jirani na Shule ya Sekondari Samaritan amembaka mtoto mwenye umri wa miaka 12, mwanafunzi wa darasa la sita wa Shule ya msingi Swaya Ntokela wilaya ya Rungwe. Tukio hilo limetokea Machi 16 hadi 19 mwaka huu, ambapo mwanafunzi huyo amekatizwa masomo Machi 14, alipoenda kuchukuliwa na mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Bi. Maida Ngulo ambaye ni mke wa askali huyo kwa nia ya kuwa mfanyakazi wa ndani. Bi Maida alisafiri Machi 16 mwaka huu kuelekea Tukuyu na kumuacha mtoto huyo akiwa na Askali huyo(mumewe), ndipo usiku baada ya mtoto huyo kumaliza kumuandalia chakula askali huyo...

MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA, MAHABUSU WACHIMBA UKUTA KITUO CHA POLISI KATI MBEYA KISHA KUTOROKA.

Kamanga na Matukio | 05:44 | 0 comments
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya Advocate Nyombi, akiwa ameketi ofisini kwake. **********Habari na Ezekiel Kamanga, Mbozi.Watu wawili wanaosadikiwa kuwa majambazi wameuawa na wananchi wenye hasira kali katika Kijiji cha Myunga, Wilaya ya Momba (Jimbo la Mbozi Magharibi) mkoani Mbeya. Majambazi hayo yameuawa usiku wa manane yalipokwenda katika kijiji hicho kwa nia ya kutekeleza mauaji kwa diwani wa Kata ya Myunga (CHADEMA) mheshimiwa...

MAJERUHI WA TUKIO LA MAPIGANO YA CHILULUMO, WILAYA YA MBOZI MKOANI MBEYA.

Kamanga na Matukio | 05:43 | 0 comments
 Mmoja wa wananchi waliojeruhiwa kwa kipigo kufuatia mapigano yaliyozuka katika Kijiji cha Chilulumo Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya Bwana Daudi Sikali. Mabinti waliodhalirishwa kijinsia baada ya kubakwa na watu saba walionadaiwa kushinikizwa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Chilulumo, Wilaya ya Mbozi, Mkoani Mbeya Bwana Bruno Chipungu, huku wakishikiwa mashoka kutenda ukatili huo wa ubakaji kwa mambinti.*******Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya.Mwenyekiti...

RC MBEYA AOMBWA KUINGILIA KATI MGOGORO ULIOPO KATI WANANCHI NA SHULE YA SEKONDARI NDEMBELA - MBEYA

Kamanga na Matukio | 05:42 | 0 comments
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro (Kushoto) akikabidhiwa Mwenge wa uhuru na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stellah Manyanya (kulia), baada ya kumaliza mbio zake mkoani Rukwa.****** Habari na Angelica Sullusi, Mbeya.Wananchi wa kijiji cha Ndembela, Kata ya Makandana Wilayani Rungwe wamemwomba Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro kuingilia kati mgogoro uliopo kati ya wananchi wa Kijiji hicho na shule ya sekondari Ndembela...
Pages (14)1234567 Next
 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger