Pages


WA 3 WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA.

Kamanga na Matukio | 03:48 | 0 comments
Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 st1\:*{behavior:url(#ieooui) } /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times New Roman"; mso-ansi-language:#0400; mso-fareast-language:#0400; mso-bidi-language:#0400;} Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya.Jeshi  la polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu watatu kwa kosa la kuingia...

MCHUNGAJI AJIMILIKISHA ENEO LA MTU NA KUFANYIA IBADA.

Kamanga na Matukio | 03:46 | 0 comments
Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 st1\:*{behavior:url(#ieooui) } /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times New Roman"; mso-ansi-language:#0400; mso-fareast-language:#0400; mso-bidi-language:#0400;}  Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya.Mchungaji Elia Jongo wa kanisa la Church Of God  la Air port jijini Mbeya...

ANYWA SUMU NA KUPOTEZA UHAI BAADA YA KUPOTEZA SHILINGI ELFU KUMI NA TATU - MBEYA

Kamanga na Matukio | 03:44 | 0 comments
Habari na mwandishi wetu.Shida Sasumba (37) mkazi wa Sinde jijini Mbeya amekunywa sumu na kumsababishia mauti baada ya kupoteza shilingi elfu kumi na tatu. Kwa mujibu wa mashuhuda ambao hawakupenda majina yao kutajwa wamesema wakati wanapitisha michango kwa wakazi wa mtaa huo kwa ajili ya kusafirisha mwili wa marehemu Shida kuelekea katika wilaya ya Kyela mkoni Mbeya. Kwa upande wake Mwenyekiti wa mtaa huo Bwana Jakobu Mwalyepere amesema kuwa marehemu alikunywa sumu Februari 26 mwaka huu, na badaye alichukuliwa na kupelekwa katika Kituo cha polisi cha Kati kilichopo jijini hapa ambapo alipewa PF3 na kupelekwa katika Hospitali ya Rufaa iliyopo jijini Mbeya. Aidha Mwalyepele...

SHULE YA SEKONDARI YAKABILIWA NA UPUNGUFU WA WANAFUNZI KUTOKANA NA IDADI YA VYUMBA VYA MADARASA- MBOZI

Kamanga na Matukio | 03:42 | 0 comments
Habari na Angelica Sullusi, Mbeya.Shule ya Sekondari ya Kata ya Msangano Wilayani Mbozi inakabiliwa na upungufu wa wanafunzi kulingana na idadi ya vyumba vya madarasa vilivyopo shuleni hapo. Akizungumza ofisini, Mratibu Elimu wa Kata hiyo  Osiah Mwanyamba amesema kuwa upungufu huo unatokana na ufaulu mdogo uliopo katani hapo kwa wanafunzi wanaomaliza elimu ya msingi. Mwanyamba ametaja sababu inayofanya kuwepo na ufaulu mdogo katika shule za msingi katani hapo kuwa ni uhaba wa walimu katika shule hizo za msingi zipatazo tano,unaotokana na ugumu wa mazingira ya kufundishia kwa mwalimu lakini pia kujifunzia kwa mwanafunzi. Ameongeza kuwa sababu nyingine ni uelewa mdogo...

WAZEE WA KIMILA WAMEKEMEA VITENDO VYA KIOVU MKOANI MBEYA.

Kamanga na Matukio | 03:14 | 0 comments
Wazee wa kimila mkoani Mbeya kwa kushirikiana na Kikundi cha Polisi jamii ulinzi shirikishi wamendelea kupinga na kukemea  vitendo vya upigaji nondo, mauji ya watoto wasio kuwa na hatia na wizi wa mali za watu unaofanywa na baadhi ya watu. Hayo yalisemwa na mwenyekiti wa  chama cha MJATA mkoani hapa Bwana  Shayo Soja Makoko alipokuwa akihutubia katika mkutano uliofanyikia katika kijiji cha Nsanga Mwelu Mbeya vijijini ambapo mkutano huo ulihudhuriwa na machifu kutoka  wilaya mbalimbali  zilizopo mkoni hapa wakishirikiana na  kikundi cha polisi jamii. Chifu Makoko alisema kuwa chama hicho kipo kwa ajili ya kupambana na maovu yote yanayojitokeza...

AGONGWA NA GARI LA MSAFARA WA MAKAMU WA RAIS - MBEYA.

Kamanga na Matukio | 03:14 | 0 comments
Habari na Mwandishi wetu.Mtu mmoja mkazi wa kijiji cha Shamwengo Wilaya ya Mbeya vijijini Mkoani Mbeya aligongwa na moja ya mgari yaliyokuwa kwenye msafara wa Ziara ya siku tatu ya Makamu wa Rais Dakta Mohammed Gharib Bilal mkoani hapa. Tukio hilo lilitokea majira ya saa kumi na mbili jioni  Februari 25 mwaka huu wakati msafara wa magari wa kutokea Wilaya ya Mbarali kuelekea Jijini Mbeya. Majeruhi alifahamika kwa jina la Franu Elia (28) ambapo aligongwa na gari hilo wakati akiendesha baiskeri  wakati msafara huo ulipokuwa unapita. Pia Franu  aliokotwa na msamalia mwema Faines Mwalemba , Agnes  Kahawa  ambao waliomba msaada katika gari aina ya Hiace yenye namba...

WATU 2 WAFARIKI DUNIA KATIKA MATUKIO 2 TOFAUTI MKOANI MBEYA.

Kamanga na Matukio | 03:13 | 0 comments
Habari na Mwanishi wetuWatu wawili wamefariki dunia katika matukio  mawili tofauti mkoani Mbeya yaliyotokea Februari 26 mwaka huu. Katika tukio la kwanza lilitokea majira ya saa nane mchana katika eneo la Nzovwe katika barabara ya Mbeya/Tunduma ambapo Hamisi Fusa (35), mkazi wa Simike aligongwa na gari lisilofahamika . Chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi  na mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya Rufaa jijini Mbeya na huku Jeshi la polisi likifanya uchunguzi juu ya tukio hilo. Na katika tukio jingine ambalo lilitokea Tunduma katika wilaya ya Mbozi mkoani hapa mtu mmoja asiyefahamika jina lake (20) aliuwawa na watu wasiofahamika baada ya...

YALIYOJILI KATIKA ZIARA YA MAKAMU WA RAIS DAKTA BILALI KATIKA MJI MDOGO WA TUNDUMA - MBEYA

Kamanga na Matukio | 05:37 | 0 comments
 Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dakta Mohammed Gharib Bilal akisamilimiana na baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wakati wa ziara yake katika Mji mdogo wa Tunduma wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mheshimiwa Phillip Mulugo akijibu swali la Diwani wa Kata ya Tunduma Bwana Frenk Mwakajoka kuhusiana na zoezi la uandikishwaji wa watoto wa darasa ya la kwamba...

SILAHA, KETE ZA BANGI NA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI, WATU SABA WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

Kamanga na Matukio | 02:12 | 0 comments
Habari na Mwandishi wetu.Jeshi la polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu saba kwa tuhuma za kuingia nchiini bila kibali, kukutwa na kete za bangi na kumiliki silaha ambapo ni kinyume cha sheria. Akizungumzia kutokea kwa matukio hayo Kaimu  Kamanda wa Polisi mkoani hapa Barakiel Masaki  amesema kuwa katika tukio la kwanza lilitokea Februari 23, mwaka huu maeneo ya Uyole  jijini Mbeya, ambapo Polisi wakiwa doria walimkamata Bwana Fakaso Ugala (25) raia wa Ethiopia pamoja na wenzake watatu  kwa  kosa la kuingia nchini bila kibali. Katika tukio jingine  lililotokea siku hiyo hiyo majira ya saa kumi jioni katika eneo ya Mlowo katika wilaya ya Mbozi mkoani...

MBUNGE WA VITI MAALUMU MKOA WA MBEYA, MARY MWANJELWA AMETOA MSAADA WA MASHINE YA KUANGUA VIFARANGA VYA KUKU.

Kamanga na Matukio | 02:11 | 0 comments
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya Dokta Mary Mwanjelwa akizungumza na wananchi wa soko la sido Mwanjelwa jijini Mbeya, ataka watendaji wabovu kuondolewa ili kuweka heshima kwa serikali.***** Habari na Mwandishi wetuMbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya, Mary Mwanjelwa ametoa msaada wa mashine ya kuangua vifaranga vya kuku yenye thamani ya Shilingi milioni nne kwa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi wilayani Kyela. Akikabidhi...

MKUTANO WA UJIRANI MWEMA

Kamanga na Matukio | 02:33 | 0 comments
 Kutoka kulia ni Mkuu wa wilaya ya Mbozi Bwana Gabriel Kimoro akiwa na Mkuu wa wilaya ya Nakonde nchi ya Zambia Bwana James Singoi  na viongozi wengine wa wilaya hizo katika mkutano wa ujirani mwema uliofanyika katika wilaya ya Mbozi hivi karibuni. Dhumuni la mkutano huo ilikuwa ni kuimarisha ulinzi na usalama mpakani pia kudhibiti uhamiaji haramu. (Picha na Ezekiel Kamanga, Mbe...

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI BI ROSE MUHANDO AINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA SONY

Kamanga na Matukio | 02:04 | 0 comments
EAST AFRICAN GOSPEL STAR ROSE MUHANDO SIGNS MULTI-RECORD DEAL WITH SONY MUSIC Global recording company Sony Music Entertainment is proud to announce the signing of East African Gospel Star Rose Muhando to its roster of artists, which includes some of the most important recordings in history. The signing was announced at a press conference in Dares Salaam, Tanzania on the 9th February 2011, and is the first deal of its kind for East Africa.Rose...
Pages (14)1234567 Next
 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger