Pages


MKURUGENZI WA JIJI ASEMA BARABARA IMETENGEWA MILIONI 400 KWA AJILI YA UKARABATI.

Kamanga na Matukio | 07:02 | 0 comments
UFAFANUZI:- Ukarabati wa barabara wa aina yake tofauti na utaalamu yakinifu, Mkurugenzi wa Jiji Bwana Juma Idd amesema hatua hii ni ya muda kwani barabara hiyo imetengewa jumla ya shilingi milioni 400, ambapo Mkandarasi amekwisha patikana na shughuli za ukarabati zitaanza mara baada ya msimu wa mvua kuisha.   Mtandao huu umeshuhudia ukarabati ukiendelea eneo la Kanisa la Sabato barabara ya Mbalizi kutokea Meta jijini hapa ambapo Saruji...

NMB MBEYA YATOA MISAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO IKUTI - MBEYA

Kamanga na Matukio | 06:53 | 0 comments
Benki ya NMB Kanda ya Nyanda za Juu Kusini imetoa misaada ya maguni 112 ya mahindi, maharage magunia 23 na mafuta ya alizeti lita mia tatu, kwa waathirika wa mafuriko wa mtaa wa Ikuti Kata ya Iyunga jijini Mbeya. Akikabidhi msaada hauo Meneja wa Benki hiyo Bwana Nazareth Lebi, mbele ya Mkuu wa wilaya ya Mbeya Bwana Evans Balama na Mbunge wa Mbeya mjini Bwana Joseph Mbilinyi, amesema msaada huo umegharimu shilingi milioni 10 za kitanzania na kwamba benki yake inawathamini na kuwajali wateja wake. Ameongeza kuwa benki hiyo inashirikiana na wananchi katika mambo mbalimbali yakiwemo majanga, elimu na michezo kwani fedha zinazotolewa ni sehemu ya faida wanayoipata, hivyo wanawarudishia wananchi katika...

WATU WAWILI JINSI YA KIUME WAMEUAWA KWA UJAMBAZI - RUNGWE, MBEYA

Kamanga na Matukio | 06:35 | 0 comments
Habari na Ezekiel Kamanga, Rungwe.Watu wawili jinsi ya kiume wamekutwa wameuawa na wananchi wenye hasira kali katika kijiji cha Kinyika, kata ya Ikuti wilaya ya Rungwe wakituhumiwa kujihusisha na vitendo vya wizi. Watu hao wameuawa usiku wa kuamkia leo baada ya marehemu kufanikiwa kuvunja kisha kuiba vitu mbalimbali vya thamani kwenye nyumba ya bwana Zakayo Ngela ambapo mara baada ya marehemu hao kutenda tukio hilo bwana Zakayo alipiga kelele kuomba msaada kutoka kwa wananchi ambao walifanikiwa kuwakamata watuhumiwa wakiwa hai. Hata hivyo uhai wa watuhumiwa hao ulikatishwa na wananchi wenye hasira kali ambao walikuwa wakiwashambulia wezi hao kwa kutumia vitu mbalimbali vigumu. Kamanda wa...

MDAHALO WA KATIBA MPYA TUNDUMA - MBOZI

Kamanga na Matukio | 06:31 | 0 comments
Habari na chanzo maalum.Diwani wa kata ya Tunduma Frank Mwakajoka amesema kuwa katika katiba mpya inayotarajiwa kuandikwa ni muhimu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asiwe anakopa mikopo nje ya nchi bila kupitishwa na Bunge.Ameyasema hayo katika mdahalo wa mchakato wa kuelekea kuandika katiba mpya na Tanzania tunayoitaka uliokuwa umeandaliwa na Muungano wa asasi zisizokuwa za Kiserikali wilayani Mbozi kwa kushirikiana na The foundation for Civil Society.Aidha amesema katiba iyo pia iwazuie mawaziri kuingia mikataba pasipo Bunge kuridhia na kupitia mikataba hiyo ili kuondoa mkanganyiko unaojitokeza na kuziba mianya ya ufisadi.Nao baadhi ya wananchi waliohudhuria mdahalo huo wamesema hakuna...

MUJATA - JESHI LA POLISI HALIWEZI KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU BILA KUSHIRIKIANA NA JAMII

Kamanga na Matukio | 06:27 | 0 comments
Habari na mwandishi wetuChama cha Muungano wa Jamii Tanzania (MUJATA) kimesema kuwa Amani na utulivu kamwe haiwezi kudumishwa na jeshi la polisi pekee bali ni kwa ushirikiano kutoka kwa jamii. Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa MUJATA Chifu Shayo Soja wakati wa mahojiano ofisini kwake na kuongeza kuwa jeshi la polisi halina budi kusimamia nidhamu ya askari wake ambao wamekuwa wakitenda kazi zao bila kufuata misingi ya jeshi hilo. Aidha ametoa ushauri kwa jeshi la polisi kuunda Sera moja ya ulinzi itakayotumika Tanzania bara na visiwani ambayo pia itafikishwa kwa wananchi na kuwaeleza umuhimu wa wao kushiriki katika ulinzi. Wakati huohuo amevita vyama vya siasa kufanya shughuli zao kwa kufuata...

WANANCHI WAFICHUA TUHUMA KWA JESHI LA POLISI KUJIHUSISHA NA VITENDO VYA UNYANYASAJI NA RUSHWA - MBOZI MKOANI MBEYA

Kamanga na Matukio | 06:24 | 0 comments
Habari na chanzo chetu.Wananchi wa wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya wamelipua lawama jeshi la polisi wilayani humo kwa kujihusisha na vitendo vya unyanyasaji na kupokea rushwa kutoka kwa wananchi.Lawama hizo zimetolewa kwa nyakati tofauti kupitia barua za malalamiko ambazo zimeandikwa na wananchi na kufikishwa ofisi ya haki za binadamu.Katika barua hizo wananchi wamelilalamikia jeshi hilo kwa kubambikizia wananchi kesi, baadhi ya viongozi wa vituo vya polisi kutishia kuuwa raia wanapofatilia haki zao na kushiriki kuwanyima haki wakulima pindi wanapokuwa kwenye migogoro na matajiri.Aidha wananchi hao wamemuomba kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Advocate Nyombi kuwachukulia hatua za kisheria askari...

SARUJI YATUMIKA KUKARABATI BAADHI YA BARABARA YA LAMI - MBEYA

Kamanga na Matukio | 06:55 | 0 comments
Ukarabati wa barabara wa aina yake tofauti na utaalamu yakinifu, mtandao huu umeshuhudia ukarabati ukiendelea eneo la Kanisa la Sabato barabara ya Mbalizi kutokea Meta jijini hapa ambapo Saruji imetumika kuziba viraka katika barabara hiyo, badala ya kutumia Lami ambapo huigharimu serikali kutokana na viraka hivyo kubanduka baada ya muda mfupi. Hata hivyo viongozi wa kitaifa wamekuwa hawapitishwi katika barabara hiyo kwa hofu ya kugundua ubadhilifu...

UFUNDI STADI:- BINTI MDOGO AJIHUSISHA NA UTENGEZAJI WA PIKIPIKI GEREJINI.

Kamanga na Matukio | 06:45 | 0 comments
Binti huyo pichani Happy Pius (9) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Muungano ni mtoto mwenye kipaji cha pekee na kuwa kivutio kikubwa kwa wakazi wa Jiji la Mbeya kwa umahiri anaounesha kwa kutengeneza Pikipiki . Pichani Binti huyo akirekebisha moja ya Pikipiki kubwa aina ya Toyo Cruiser inayomilikiwa na kampuni ya vinywaji ya Cocacola iliyoletwa katika Gereji iliyopo eneo la Srereo Jijini Mbeya kama alivyokutwa na mpigapicha wetu jana.(Picha...

UHABA WA MAFUTA MBEYA BAADHI YA WATEJA WAGOMEWA KUUZIWA MAFUTA HAYO.

Kamanga na Matukio | 06:36 | 0 comments
 Baadhi ya wateja wa mafuta wakiwa katika foleni katika kituo cha mafuta cha GAPCO kilichopo eneo la Mafiati jijini Mbeya kutokana na uhaba wa mafuta, hali iliyopelekea kuathiri shughuli mbalimbali za uzalishaji na usafirishaji kusimama na kupanda bei.Dereva na Kondakta wa gari ya abiria maarufu daladala wakijadiliana jambo baada ya kugomewa kuuziwa mafuta pasipokuwa na sababu maalumu ambapo mtandao huu ulibaini kuwepo na ubaguzi katika uuzaji...

BENKI KUU YA DAMU NYANDA ZA JUU KUSINI INAKABILIWA NA UHABA WA DAMU SALAMA.

Kamanga na Matukio | 06:21 | 0 comments
Picha ni mmoja wa wanafunzi walioguswa na zoezi la uchangiaji wa damu salama, kutokana na Benki ya damu ya nyanza za juu kusini kukabiliwa na upungufu mkubwa wa damu.***** Habari na mtandao huu. Benki ya damu kanda ya nyanda za juu kusini inakabiliwa na upungufu mkubwa wa damu hali ambayo inahatarisha usalama wa maisha hasa kwa akina mama wajawazito na wagonjwa wanatoakanao na ajali ambao wamekuwa wakihitaji damu kwa wingi.Akiongea na mwandishi wetu...

KANISA KATOLIKI JIMBO LA MBEYA LAINGIA DOSARI

Kamanga na Matukio | 06:15 | 0 comments
Habari na Mtandao huuKanisa katoliki jimbo la Mbeya limeingia dosari baada ya Padri Inosent Sanga anayesimamia masuala ya elimu ya jimbo hilo kuwafukuza bila kulipa stahiki zao baadhi ya waalimu wa shule ya sekondari ya wasichana ya Mtakatifu Fransisko. Licha ya padri Sanga kushindwa kuwa na ustahimilivu kwa watumishi wake hao pia alikaidi agizo la mahakama ambayo iliagiza watumishi hao kuendelea kuishi kwenye nyumba zinazomilikiwa na kanisa katoliki hadi hapo watakapo lipwa madai yao bada ya kufukuzwa kazi. Waalimu hao waliondolewa vyombo vya nje na kampuni ya Yono Auction Mart and Cout Broker tawi la Mbeya amapo hata hivyo vyombo vya waalimu hao vilirudishwa ndani kwa nguvu na Serikali ya...

MISAADA YAENDELEA KUTOLEWA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO - MBEYA.

Kamanga na Matukio | 06:13 | 0 comments
Mvua kumbwa iliyonyesha Desemba 18, mwaka huu majira ya saa 8 mchana katika mtaa wa Ikuti Kata ya Iyunga, wilaya ya Mbeya, imebomoa zaidi ya nyumba 30, hali iliyopelekea wananchi zaidi ya 100 kukosa mahali pakuishi na msaada wa haraka wa vyakula na madawa unahitajika ili kuweza kunusuru maafa. Mbali na nyumba kubomoka mvua hiyo iliyodumu kwa muda wa masaa mawili imeweza kuharibu mimea ya mazao shambani. miundombinu ua Maji, Umeme na Barabara...

MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA ZA ATHIRI MAKAZI NA MIUNDOMBINU MBEYA

Kamanga na Matukio | 06:02 | 0 comments
Mkurugenzi wa jiji la Mbeya Bwana Juma Idd(kushoto), akizungumza na Diwani wa kata ya Uyole baada ya kata yao kukumbwa na mafuriko makubwa baada ya mvua iliyonyesha jana, kudumu kwa muda wa saa moja kuanzia majira ya saa kumi hadi za kumi na moja za jioni.  Mafuriko hayo yamesababisha nyumba kadhaa kubomoka na baadhi ya wananchi kukosa hifadhi na kuathiri kambi ya Wachina waliopo jijini hapa kwa ajili ya ujenzi wa barabra ambapo baadhi ya magari...

MJOMBA AMCHOMA NA KAA LA MOTO MPWA WAKE KIGANJANI KWA TUHUMA ZA KUKOSA ADABU.

Kamanga na Matukio | 05:41 | 0 comments
Mtoto Oscar Oliver (17), mkazi wa Ilemi Jijini Mbeya akiwa ndani ya ofisi za Jeshi la Polisi zilizopo Kituo cha Kati Mbeya, baada ya kuchomwa kiganja cha mkono wake wa kushoto na kaa la moto na mjomba wake kwa kile kinachodaiwa kuwa mtoto huyo kakosa adabu. Mjomba wa mtoto Oscar Oliver, akiwa tayari kutiwa mikononi mwa Polisi baada ya kubainika kumuunguza kiganja cha mkono wa kushoto mtoto huyo kwa madai kakosa adabu.  *****Habari na...

PADRI AWATIMUA WALIMU 7 KAZINI NA KUWATUPIA VYOMBO VYAO NJE, BILA KUJALI MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA MBEYA

Kamanga na Matukio | 05:17 | 0 comments
Padri Mbeya atimua walimu*       Walala nje siku mbili*       DC ashuhudia******  Habari na Ezekiel Kamanga, MbeyaPadri wa Jimbo la Kanisa Katoliki mkoa wa Mbeya amewatimua kazi na kutupa vyombo vyao nje walimu saba waliokuwa wakifundisha shule ya sekondari ya wasichana ya Mtakatifu Fransisko iliyopo Forest jijini hapa baada ya kukataa kutoka katika nyumba za shule hiyo wakisubiri uamuzi wa mahakama.Tukio hilo lilitokea Desemba 24,  mwaka huu  katika eneo la shule hiyo na kuzusha vurugu ambazo zilizimwa na Mkuu wa wilaya ya Mbeya Evance Balama aliyefika eneo la tukio na kusikiliza pande zote mbili.Uongozi wa shule hiyo...

NYUMBA YA MWANDISHI WA HABARI YAVAMIWA NA KUIBIWA MALI ZAKE - MBEYA.

Kamanga na Matukio | 05:08 | 0 comments
Habari na Gordon Kalulunga, Mbeya  Mwandishi wa habari wa Gazeti la Nipashe mkoani Mbeya Bwana Thobias Mwanakatwe amevamiwa na majambazi na kuibiwa mali zake nyumbani kwake Jijini Mbeya.  Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Mwanakatwe alisema kuwa alipata taarifa kutoka kwa majirani zake kuwa majambazi walikuwa wamevamia nyumbani kwake yeye akiwa safarini wilayani Kyela.  Alisema anamshukuru Mungu yeye na familia yake hawakuwemo katika nyumba hiyo hivyo watu hao wanaosadikiwa kuwa ni majambazi walivunja nyumba yake na kuiba kila kitu kama hasira za kutomkuta yeye na mkewe. Alivitaja baadhi ya vitu ambavyo watu hao waliiba ndani ya nyumba yake kuwa ni pamoja na Sub...

YALIYOJILI MKOANI MBEYA WIKI HILI

Kamanga na Matukio | 05:49 | 0 comments
 MISAADA:-Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abass Kadoro akikabidhi baadhi ya msaada kwa waathirika wa janga la mafuriko lililoathiri Kata ya Ikuti nje kidogo ya Jiji la Mbeya jana. Msaada hiyo ulikuwa ni pamoja na Blanketi 100,,Mikeka 100, Gunia 15 za mahindi na Lita 90 za mafuta. Kata hiyo ilikumbwa mafuriko ambapo zaidi ya kaya 30 zilikosa makazi ya kuishi. MISAADA:-Mkuu wa Wilaya Mbeya Evans Balama akikabidhi msaada wa Mchele, Mbuzi na Mafuta ya...

MVUA KUBWA YABOMOA NYUMBA 30, MMOJA AFARIKI DUNIA , ZAIDI YA WANANCHI 100 WAKOSA MAHALI PAKUISHI JIJINI MBEYA

Kamanga na Matukio | 06:40 | 0 comments
Mvua kumbwa iliyonyesha Desemba 18, mwaka huu majira ya saa 8 mchana katika mtaa wa Ikuti Kata ya Iyunga, wilaya ya Mbeya, imebomoa zaidi ya nyumba 30, hali iliyopelekea wananchi zaidi ya 100 kukosa mahali pakuishi na msaada wa haraka wa vyakula na madawa unahitajika ili kuweza kunusuru maafa. Mbali na nyumba kubomoka mvua hiyo iliyodumu kwa muda wa masaa mawili imeweza kuharibu mimea ya mazao shambani. miundombinu ua Maji, Umeme na Barabara kutokana...

GARI YA MIZIGO MALI YA DHANDHO YATEKETEA KWA MOTO

Kamanga na Matukio | 05:42 | 0 comments
Gari ya mizigo aina ya Scania ambayo nambari yake ya usajili haikuweza kufahamika, linalomilikiwa na Kampuni ya DHANDHO ambayo hujihusisha ya usafirishaji wa mizigo mbalimbali kuanzia nchini na kupeleka nchi jirani, limeteketea kwa moto katika eneo la Chimbuya mkoani Mbe...

KANISA LA MORAVIANI USHIRIKA WA MWAKA TUNDUMA WAKABIDHI ZAWADI KWA WATOTO YATIMA.

Kamanga na Matukio | 05:36 | 0 comments
Mchungaji wa Kanisa la Moravian Ushirika wa Mwaka Tunduma mkoani Mbeya Anyandwile Kajange, akila chakula na watoto yatima, wajane na wanaoishi katika mazingira hatarishi ikiwa ni ishara ya upendo kwa watoto hao, baada ya kanisa hilo kutoa nguo za sikukuu zenye thamani ya shilingi laki nane, ambapo Mgeni rasmi alikuwa Bi Beatrice Mwinuka mjumbe wa Halmashauri kuu ya Jimbo ya kanisa la Moravian Tanzamia. Watoto yatima na waishio katika mazingira...

ns: WANAFUNZI ELFU KUMI WASHINDWA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA MASOMO YA KIDATO CHA KWANZA MKOANI MBEYA

Kamanga na Matukio | 02:58 | 0 comments
Wahitimu wa elimu ya msingi katika shule ya Msingi Kambarage iliyopo jijini Mbeya wakifurahia na kushangialia baada ya kumaliza kufanya mtihani wa darasa la saba ambao umemalizika na kuwapa fursa ya kusubiria Sherehe rasmi ya Kuangwa itakayofanyika wakati wowote kuanzia sasa. Wanafunzi wengi wameshangilia na kujawa furaha kubwa.,Je? furaha hii inaweza rudiwa tena wakati wa matokeo kutangazwa. *****Habari na Picha na Mtandao huu....

BEI ZA PEMBEJEO ZA KILIMO ZAPANDA KILA KUKICHA MKOANI MBEYA

Kamanga na Matukio | 02:55 | 0 comments
Mifuko ya Mbolea aina ya DAP*****  Habari na Picha na Mtandao huu.Licha ya Serikali kutunga sera yenye lengo la kumkomboa mkulima, Sera hiyo imeonekana kutokuwa na manufaa kwa wakulima kutokana na kupanda kwa bei za pembejeo za kila kila kukicha. Wakiongea na mtandao huu baadhi ya wafanyabishara wa pembejeo za kilimo mji mdogo wa Mbalizi wilaya ya Mbeya vijijini wamesema kupanda kwa pembejeo hizo kunatokana na kupanda kwa gharama za uzalishaji. Mmoja...

WANACHUO WAGUSHI MUHURI WA BENKI, WATAFUNA ADA MILIONI 12 MKOANI MBEYA.NA

Kamanga na Matukio | 06:34 | 0 comments
Wanachuo 33 wa chuo cha Ilemi Polytechnic College wamefuja shilingi milioni 12, 450,000 za kitanzania, ada ambazo walipasa kulipa kwa ajili ya mafunzo wanayopatiwa katika chuo hicho kilichopo kata ya Iganzo jijini Mbeya. Wanachuo hao badala ya kwenda kulipa ada hizo katika akaunti ya malipo ya shule katika Benki ya Exim, wamekuwa wakichukua stakabadhi ya malipo (pay slip) na kuzigonga muhuri ambao wameuchonga, kisha kuzipeleka stakabadhi hizo kwa...

WAFUNGA BARABARA BAADA YA MKAZI MMOJA KUGONGWA NA GARI NA KISHA KUFARIKI - MBARALI

Kamanga na Matukio | 05:58 | 0 comments
Pikipiki nambari T 156 BRE iliyokuwa ikiendeshwa na Bwana Abinel Maliva iligonga kwa nyuma gari nambari T 605 BBK aina ya Toyota RAV4 iliyokuwa ikiendeshwa na Bwana Juma Abubakari katika eneo la Esso jijini Mbeya.  *****Habari na Ezekiel Kamanga, MbeyaWananchi wa kijiji cha Ilongo, wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya walifunga barabara kuu ya Mbeya - Iringa jana kwa muda wa masaa mawili, baada ya mkazi mmoja wa kijiji hicho kugongwa na gari...

NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI ATEKELEZA AHADI YA UJENZI WA MAKTABA JIMBONI KWAKE MKOANI MBEYA.

Kamanga na Matukio | 05:23 | 0 comments
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi, Mheshimiwa Philipo Mulugo ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Songwe wilaya ya Chunya mkoani Mbeya.***** Na, Gordon Kalulunga, Mbeya. Naibu Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi nchini Philipo Mulugo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songwe wilayani Chunya mkoani Mbeya, ameendelea kutekeleza ahadi zake kwa kujenga maktaba ya wilaya ya Chunya jimboni humo. Mulugo ametekeleza ahadi hiyo ikiwa ni miezi miwili...

MAFANIKIO KATIKA UENDESHAJI WA CHUO CHA UFUNDI CHA MORAVIAN(MVTC) - MBEYA

Kamanga na Matukio | 06:35 | 0 comments
Mgeni rasmi wa mahafali ya 11 ya chuo cha Ufundi (MVTC) kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi  Mkuu wa wilaya ya Mbozi Bwana Gabriel Kimolo akipokea zawadi ya samani, aina ya meza iliyobuniwa na kutengeneza na wahitimu hao katika mahafali  yaliyofanyika Desemba 16 mwaka huu, katika Ukumbi wa Chuo hicho eneo la Kadege, Forest ya zamani jijini Mbeya.  *****Habari na Mtandao huu.  Wahitimu...
Pages (14)1234567 Next
 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger