Pages


WANAFUNZI WAWILI WA KIDATO CHA KWANZA WAACHA MASOMO NA KUAMUA KUOANA.

Kamanga na Matukio | 01:13 | 0 comments
Mkuu wa mkoa wa Mbeya mh. Abbas Kandoro*****Na mwandishi wetu.Wanafunzi wawili wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Sange iliyopo kata ya Sange wilayani Ileje wameacha masomo na kuamua kuoana ambapo hadi sasa wanaishi kama mume na mke. Hayo yamebainika baada ya mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro kufanya ziara maalumu ya kujitambulisha wilayani humo ambapo pia alitembelea kujionea hali ya ujenzi wa shule ya msingi Sange. Akiwa...

WATOTO ZAIDI YA MILIONI MOJA WENYE CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO MKOANI MBEYA KUPEWA CHANJO

Kamanga na Matukio | 01:12 | 0 comments
Na mwandishi wetuWatoto zaidi ya 1,886,226 mkoani Mbeya wenye umri chini ya miaka mitano wanatarajia kupewa chanzo ya surua, homa ya kupooza (polio), matone ya vitamin ‘A’ na dawa ya minyoo.  Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk.Seif Mhina, akizungumza na mwandishi wetu amesema kampeni ya kutoa chanjo hizo itaanza Novemba 12 hadi 15 mwaka huu katika Halmashauri zote za mkoa huu.  Alisema kampeni hii inalenga kuwakinga watoto dhidi ya magonjwa hatari ya surua na homa ya kupooza na kuzuia mlipuko wa magonjwa hayo na kuimarisha kinga kwa watoto hao.  Dk.,Mhina alitoa mchanganuo kuwa watoto 453,127 watapewa chanjo ya surua,polio watoto 535,995, matone ya vitamin ‘A’ 477,770,na...

MELI YA MV SONGEA YASIMAMISHA SAFARI ZAKE BAADA KUHARIBIKA ILI IFANYIWE MATENGENEZO.

Kamanga na Matukio | 01:11 | 0 comments
Na mwandishi wetu. Meli ya MV Songea inayosafirisha abiria na mizigo katika maeneo mbalimbali ndani ya ziwa Nyasa, imesimamisha safari zake baada ya kuharibika ili ifanyiwe matengenezo. Kwa sasa meli hiyo imeegeshwa katika bandari mpya ya Kiwira wilayani Kyela ikisubiri kwenda kufanyiwa matengenezo katika bandari ya Drydock nchini Malawi. Meneja wa kampuni ya Marine Services inayomiliki meli hiyo, Baraka Bigambo amesema meli hiyo imetoboka sakafu na imeanza kuingiza maji halki inayohatarisha usalama wa abiria na mali zao. MV Songea inao uwezo wa kubeba abiria 200 na tani 50 za mizigo na inatoa huduma katika ukanda mzima wa pwani ya upande wa Tanzania na nchi jirani ya Malawi. ...

RADI YASABABISHA KIFO NA KUJERUHI - MBEYA.

Kamanga na Matukio | 04:16 | 0 comments
Na mwandishi wetuBi Magdalena Mlaga mwenye umri wa miaka 28 amefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya kupingwa na radi akiwa ndani ya nyumba yake, radi hiyo ambayo ilisababishwa na mvua iliyokuwa ikinyesha juzi katika kijiji cha Iyenga, kata ya Isansa wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya. Chanzo chetu kutoka eneo la tukio kimeeleza kuwa mvua hiyo ilianza kunyeesha majira ya saa saba za mchana na ilimalizima majira ya saa nane unusu mchanaambapo marehemu akiwa na mwanae Happy Mwakanyonga mwenye umri wa miaka mitatu pamoja na mdogo wake Gift Yona mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi Mpito walipingwa na radi hiyo.  Mmoja wa mashuhuda wa ajali hiyo bwana Efraimu Mwampanda...

SAKATA LA HUNDI ZA MIRATHI KUTOWAFIKIA WAHUSIKA.

Kamanga na Matukio | 04:15 | 0 comments
Na mwandishi wetuImedaiwa kuwa hundi nyingi za mirathi zimekuwa haziwafikii warithi na kubaki mahakamani kutokana na mawasiliano duni kati ya msimamizi wa mirathi na mahakama za mwanzo Aidha warithi kutochukuwa hundi kutokana na kukata tama inayosababishwa na kutokuwa na taarifa ya kukamilika kwa malipo, gharama za kufuata malipo kuwa kubwa na urasimu wa watendaji wa mahakama. Hayo yamebainishwa na afisa mirathi kutoa hazina bwana Wiliamu Kesi wakati akitoa mafunzo ya kukabilia na changamoto hizo kwa watendaji na mahakimu wa mahakama za mwanzo kwa mikoa ya Iringa na Ruvuma. Wakati huohuo amezitaka familia kumteua msimamizi anayeaminika na familia kwa ujumla ili kuondoa...

ZAIDI YA WAJASIRIAMALI 40 KUSHIRIKI MAONESHO YA UJASIRIAMALI - MBEYA

Kamanga na Matukio | 04:12 | 0 comments
Na mwandishi wetuZaidi ya wajasiliamali 40 kutoka Mbeya, Dar es salaam na Kenya watashiriki maonesho ya ujasiriamali yatakayofanyika kwa siku 3 katika viwanja vya shule ya msingi Ruanda Nzovwe jijini hapa. Akiongea na mwandishi wetu meneja masoko wa Mbeya Trade Fair bwana Stephen Msekwa amesema nia ya kuchanganya wajasilia mali wa ndani na nje ya nchi ni kuwaongezea ujuzi wajasilia mali wa ndani katika shughuli zao. Amezitaja bidhaa zitakazo oneshwa siku hiyo kuwa ni nguo za asili, wine, sabuni za kuongea, sabuni za usafi wa choo na juisi. Aidha amesema maonesho hayo yanatarajiwa kufunguliwa November 4 na mkurugenzi wa jiji la Mbeya Juma Idi na kufungwa November 6 na mkuu wa mkoa...

MKUU WA MKOA WA MBEYA MH KANDORO AWATAKA WANANCHI KUTOKUWA NA JAZBA, CHUKI KATIKA UCHANGIAJI WA MAONI YA KATIBA MPYA WAKATI UTAKAPOFIKA.

Kamanga na Matukio | 05:24 | 0 comments
Mkuu wa mkoa wa Mbeya mheshimiwa Abbas Kandoro ***** Na mwandishi wetuMkuu  wa Mkoa wa Mbeya Bw Abbas Kandoro amesema kuwa wakati utakapokuwa umefika  wa kukusanya maoni  ya katiba mpya wananchi wanatakiwa kutotumia jazba, chuki au shinikizo kwani katiba hiyo ni sheria mama inatakiwa kujadiliwa kwa umakini.  Mkuu huyo wa Mkoa alisema hivi sasa suala la katiba  mpya linazungumzia karibu kila kona hivyo kuna umuhimu likapewa...

WAZIRI NAGU AMEZITAKA TAASISI NA VYOMBO VYA DLA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI.

Kamanga na Matukio | 05:19 | 0 comments
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu (katikati).Na mwandishi wetu. Waziri wa nchi ,Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji  na uwezeshaji Dkt.Mary Nagu (Mb) amezitaka taasisi na vyombo vya dola kuweka mazingira wezeshi  ili kuboresha mazingira ya kufanya biashara kwa wawekezaji katika Tanzania  ili kusiwepo na vikwazo na ucheleweshwaji wa huduma muhimu.  Dkt. Nagu aliyasema hayo  jana wakati...

WAKRISTO WATAKIWA KUJIENDELEZA KIELIMU KWA LENGO LA KUUKABILI UTANDAWAZI

Kamanga na Matukio | 05:14 | 0 comments
Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 st1\:*{behavior:url(#ieooui) } /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times New Roman"; mso-ansi-language:#0400; mso-fareast-language:#0400; mso-bidi-language:#0400;} Na Ezekiel Kamanga, Mbeya Mtume Ayubu Msigwa wa Huduma ya World Alive Ministry (WAM) ya Jijini Mbeya amewataka Wakristo...

MBUNGE MBEYA ASEMA HATOKIHAMA CHAMA CHA MAPINDUZI

Kamanga na Matukio | 04:55 | 0 comments
Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times...

UNYWAJI POMBE KUPINDUKIA UMETAJWA KUWA NI MOJA YA SABABU YA WATOTO KUISHI MAZINGIRA HATARISHI MKOANI MBEYA.

Kamanga na Matukio | 04:53 | 0 comments
Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times New Roman"; mso-ansi-language:#0400; mso-fareast-language:#0400; mso-bidi-language:#0400;} Na mwandishi wetu Unywaji wa pombe kupindukia umetajwa kuwa moja ya sababu inayochangia baadhi ya wazazi na walezi wa kata ya Igawilo jijini Mbeya kushindwa...

MTU MMOJA AFARIKI KWA KUJINYONGA MTAA WA MWAMBENJA - KATA YA IGANZO MKOANI MBEYA.

Kamanga na Matukio | 05:46 | 0 comments
 Mtu mmoja mkazi wa mtaa wa Mwambenja kata ya Iganzo jijini Mbeya aliyefahamika kwa jina la Anyimike Ambokile mwenye umri wa miaka 25, amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia kamba ya plastiki chumbani kwake, na hakuacha ujumbwe wowote wa kukatiza maisha yake. Marehemu alikuwa ni mfanyabiashara wa kuuza mitumba katika soko la Sido Mwanjelwa lililoteketea kwa moto hivi karibuni.(Picha juu ni sehemu ambayo marehemu alijinyonga) Kifo cha...

SAKATA LA MBWA MWENYE KICHAA LAISHIA PABAYA WATOTO WAWILI WAFARIKI MBEYA

Kamanga na Matukio | 05:26 | 0 comments
 Wananchi wa mtaa wa Ivumwe kata ya Mwakibete jijini Mbeya  wakiwa kwenye mazishi ya kijana Ayoub Shoti mwenye umri wa miaka 13, ambaye alifikwa na mahuti siku ya jumamosi baada ya kung'atwa na mbwa wenye kichaa. Lakini mpaka sasa jumla ya wananchi watatu wamefariki akiwemo Venance Samson umri wa miaka 13, na tisa kujeruhiwa na mbwa huyo. Marehemu amehitimu shule ya msingi mwaka huu katika shule ya msingi Ivumwe.  Mbwa anayedaiwa kuwa...

WANANCHI WATAKIWA KUVITUNZA VYAZO VYA MAJI NYIMBILI WILAYANI MBOZI MBEYA

Kamanga na Matukio | 03:30 | 0 comments
Na mwandishi wetu.Wananchi waishio kandokando ya vyanzo vya maji wametakiwa kuvitunza vyanzo hivyo ili kusaidia kupatikana kwa maji katika kipindi chote cha mwaka Rai hiyo imetolewa na wakulima wanaojishughulisha na kilimo cha umwagiliaji katika bonde la Chizumbi lililopo kata ya Nyimbili wilayani Mbozi mkoani Mbeya. Wamesema endapo vyanzo hivyo vitatunzwa kikamilifu vitasaidia kuondokana na tatizo la maji pamoja na kuiwezesha mito...

WATENDAJI WA HALMASHAURI NA WILAYA WAMETAKIWA KUONDOA URASIMU WA TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI MBEYA.

Kamanga na Matukio | 03:29 | 0 comments
Waandishi wa habari wakongwe na waliobobea mkoani Mbeya*****Na mwandishi wetuKatibu tawala msaidizi Utumishi na Utawala Bwana Leonald Magacha amewataka watendaji wa halmashauri na wilaya kuondoa urasimu wa taarifa kwa waandishi wa habari ili kuiwezesha jamii kutambua mambo yanayoendelea katika mkoa wao. Ameyasema hayo kufuatia kuwepo kwa tabia ya baadhi ya wakuu wa idara kutoka halmashauri mbalimbali kutokuwa na ushirikiano na vyombo vya...

SAKATA LA BEI YA UNUNUZI WA GARI ZA KUZOLEA TAKA LA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA.

Kamanga na Matukio | 03:28 | 0 comments
 Gari la kuzolea taka la halmashauri ya jiji la Mbeya.(Picha na mtandao huu)******Na Gabriel Mbwille.Mkaguzi mkuu wa Serikali kanda ya nyanda za juu kusini Mohamed Ramadhani amesema kuwa gari la kubeba taka lililonunuliwa na halimashauri ya jiji la Mbeya kwa shilingi milioni 300 linathamani ya shilingi milioni 20. Akisoma taarifa hiyo ndani ya kikao cha Baraza la madiwani kilichoketi mwishoni mwa wiki amesema kuwa gari hilo limetumika...

WANANCHI WATAKIWA KUVITUNZA VYAZO VYA MAJI NYIMBILI WILAYANI MBOZI MBEYA

Kamanga na Matukio | 03:27 | 0 comments
Na mwandishi wetu.Wananchi waishio kandokando ya vyanzo vya maji wametakiwa kuvitunza vyanzo hivyo ili kusaidia kupatikana kwa maji katika kipindi chote cha mwaka Rai hiyo imetolewa na wakulima wanaojishughulisha na kilimo cha umwagiliaji katika bonde la Chizumbi lililopo kata ya Nyimbili wilayani Mbozi mkoani Mbeya. Wamesema endapo vyanzo hivyo vitatunzwa kikamilifu vitasaidia kuondokana na tatizo la maji pamoja na kuiwezesha mito...

MTOTO AJERUHIWA BAADA YA KUPINGWA NA WATU WANAODAIWA KUWA NI MAJAMBAZI

Kamanga na Matukio | 06:26 | 0 comments
 Mtoto Victa Tobia aliyejeruhiwa baada ya kupingwa na watu wanaodaiwa kuwa ni majambaziNa mwandishi wetuMtoto Victa Tobias mwenye umri wa miaka 12 mkazi wa Kamficheni Soweto jijini Mbeya amepigwa na watu wasiofahamika asubuhi ya jana baada ya kudhaniwa kutaka kuiba vyuma chakavu kwenye moja ya gereji jijini hapa. Kutokana na kipigo hicho mtoto huyo amejeruhiwa katika sehemu mbalimbali za mwili wake na kusababisha uvimbe katika maeneo...

KIJANA MMOJA ALIYEHITAJI MSAADA WA MAZISHI, AFANYA UTAPELI NA KUTOKOMEA KUSIKOJULIKANA

Kamanga na Matukio | 06:23 | 0 comments
 Afisa mtendaji wa mtaa wa Maendeleo kata ya Iyunga jijini Mbeya Bi Tabu Sengo Tabu ambaye ametapeliwa simu yekye thamani ya shilingi 90,000/= kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Geogre Ramsi aliyedai kuwa ametokea jijini Tanga,  alifika katika uongozi wa serikali hiyo kuomba msaada wakumzika ndugu yake aliyedaiwa amejifungua na kufariki katika Hospitali ya Rufaa Meta jijini hapa.  Bwana Elias Mwakyusa aliyeitwa kusaidia kuzika...

WATU 30 WAJERUHIWA NA HAKUNA ALIYEFARIKI KATIKA AJALI ILIYOHUSUSHA MAGARI MANNE MKOANI MBEYA

Kamanga na Matukio | 05:34 | 0 comments
Zaidi ya watu 30 wamejeruhiwa katika ajali mbaya na hakuna aliyefariki iliyotokea kwenye mteremko wa mlima Mbalizi wilaya ya Mbeya vijijini, ambapo ajali hii ilitokea majira ya saa moja na nusu usiku ikihusisha malori matatu yenye matela na gari ya abiria aina Costa moja maarufu kama Half London au Makete inayofanya ruti ya safari kutoka Mbeya mpaka Tunduma. Katika ajali hiyo malori hayo yaliziba barabara na hivyo kusababisha magari mengine kushindwa...

WATU WAWILI WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA NA NOTI BANDIA

Kamanga na Matukio | 05:52 | 0 comments
Kamanda wa Jeshila Polisi mkoani Mbeya Advocate Nyombi*****Na mwandishi wetuJeshi la polisi mkoa wa Mbeya linawashikilia watu wawili wakazi wa Tunduma na Kyela baada ya kukutwa na dawa za kulevya aina ya Kokeini na Bangi pamoja noti 3 za bandia za  shilingi elfu kumi. Akiongea na waandishi wa habari kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Anecletusi Malindisa amesema kuwa jana majira ya saa 6 za mchana Imani Chaula mwenye umri wa...

WAOMBA MSAADA WA FEDHA ILI KUFANIKISHA ZOEZI LA UFUNGAJI WA MITAMBO YA UMEME NUNGU - MAKETE

Kamanga na Matukio | 05:51 | 0 comments
Wananchi wa kijiji cha Nungu wilaya ya Makete mkoani Iringa wameiomba serikali iweze kuwasaidia kiasi cha fedha ili waweze kufanikisha zoezi la ufungaji wa mitambo ya umeme katika maporomoko ya mto Mbulu. Mmoja wa wakazi wa kijiji hicho Bwana Esau Ndaga amesema ili kufanikisha zoezi la ufungaji wa mitambo hiyo msaada mkubwa unahitaji kutoka Serikalini na wadau wengine wa maendeleo. Naye mwenyekiti wa kijiji hicho Bi.Marieth Malekano amesema...

MWALIMU AKUTWA AMEUWAWA NA MWILIWAKE KUACHWA MTUPU NA KUHARIBIKA VIBAYA MBEYA

Kamanga na Matukio | 05:50 | 0 comments
Na mwandishi wetuMwalimu wa shule ya msingi Wimba iliyopo tarafa ya Igale B. kata ya Utengule Usongwe Bi.Maria Harudo Sanga mwenye umri wa miaka 46 amekutwa ameuawa na mwili wake kuachwa  ukiwa mtupu na kuharibika vibaya. Akiongea na mwenyekiti wa Kijiji cha wimba Dickson Mlawa amesema October 14 mwaka huu mwalimu huyo aliaga kwenda Iringa baada ya kuibiwa vitu vya thamani kwenye nyumba yake na kwamba hakuonekana kwa zaidi ya siku 4 hadi hapo mwili wake ulipokutwa ukiwa umeharibika Kwa upande wake mwalimu mkuu wa shule ya msingi Wimba Nikubuka Mbwile amesema taarifa za kifo cha mwalimu huyo zilitolewa na wanafunzi baada ya kukuta nguo za mwali huyo kichakani Nao...

DIWANI NA AFISA MTENDAJI WA KATA YA RUIWA MKOANI MBEYA WAKACHA MKUTANO.

Kamanga na Matukio | 05:49 | 0 comments
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) mheshimiwa Hamad Sharifu awataka Diwani na Afisa mtendaji wa kata ya Ruiwa kuwasikiliza wananchi kero zinazowakabili katika shughuli za maendeleo katika kata hiyo iliyopo wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya. Baadhi ya wananchi wa kata ya Ruiwa. wilayani Mbarali wakitaka kusomewa taarifa za mapato na matumizi ambapo diwani wa kata hiyo ni Bwana Alex Ndamlage na Afisa mtendaji ni Bwana Jordan Masweve ambayo...

BAADHI YA MADEREVA NA ABIRIA MKOANI MBEYA NI SUGU KWANI HAWAJIFUNZI KUTOKANA NA MAKOSA, KWA AJALI ZINAZOTOKEA MKOANI HAPA.

Kamanga na Matukio | 05:34 | 0 comments
Sakata la kubeba abiria katika magari ya kubebea mizigo bado ni tete mkoani Mbeya, licha ya kuwepo kwa ajali zinazotokea mara kwa mara na kuchinja idadi kubwa ya abiria.  Mtanado huu umeweza kushuhudia gari hili la mizigo aina ya Canter katika barabara ya Utengule Usangu wilayani Mbarali likiwa limebeba abiria kwa kushonana. Je?, Jeshi la polisi mkoani Mbeya mnaliona hili kwa makini ili kunurusu uhai wa wanajami...

MAMIA WAJITOKEZA KATIKA MDAHALO WA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU MKOANI MBEYA.

Kamanga na Matukio | 05:22 | 0 comments
 Aliyeshika kipaza sauti ni Mchungaji ambaye ni mmoja wa wawezeshaji wa Mdahalo wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru yaliyofanyika katika ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya ambapo Kauli mbiu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru kwa mkoa wa Mbeya ni KUKUZA UCHUMI, KILIMO CHENYE TIJA, MATUMIZI YA RASILIMALI NA FURSA ZILIZOPO NI SILAHA YA KUPAPAMBANA NA UMASIKINI wakati kauli mbiu ya kitaifa ni TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE Baadhi ya...
Pages (14)1234567 Next
 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger