Pages


KIZUNGUMKUTI CHA AJALI YA MOTO WENYE UTATA BAR YA OMEGA JIJINI MBEYA , MTEJA MMOJA AFARIKI

Kamanga na Matukio | 05:06 | 0 comments
 Moto wenye utata umeteketeza chumba kimoja cha Bar inayoitwa Omega inayomilikiwa na Mrs Ngwada iliyopo mtaa wa Ilolo jijini Mbeya, majira ya saa Kumi na mbili jioni na mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ansen Mtono wenye umri wa miaka 23 afariki dunia.Marehemu amekaa chumba hicho kwa muda wa siku mbili na alikuwa anadaiwa shilingi elfu hamsini ya bili ya vinywaji. na Balozi wa mtaa wa Ilolo Bwana Lukomano Mwakatobe amesema ni tukio la pili...

SIKU 3 ZASALIA ZA UCHAGUZI WA VITI VYA UDIWANI KATA YA NZOVWE & MAJENGO JIJINI MBEYA

Kamanga na Matukio | 03:04 | 0 comments
Na mwandishi wetu. Siku 3 zimesalia kufanyika kwa uchaguzi mdogo katika kata za Nzovwe na Majengo ambapo maandalizi kwa ajili ya uchaguzi huo yanaendelea vizuri. Majina ya watu wenye sifa za kupiga kura yamebandikwa katika mbao za matangazo ofisi za maafisa watendaji wa mitaa na kata hata hivyo kumetokea malalamiko kadhaa kutoka kwa baadhi ya wananchi ambao majina yao hayajabandikwa. Wagombea wanaowani nafasi ya Udiwani kwa kata...

WAZAZI NCHI WATAKIWA KUWAJENGEA MISINGI YA KUTHAMINI ELIMU WATOTO WAO

Kamanga na Matukio | 03:03 | 0 comments
 Na mwandishi wetu.Wazazi wametakiwa kuwahimiza watoto wao kuzingatia masomo badala ya kuwaachia watoto wao kufanya mambo ya starehe ambayo yamekuwa yakiwaasababishia kufanya vibaya katika mitihani yao ya Taifa. Rai hiyo imetolewa na Padre Bathromeo Kaniki katika mahafali ya pili ya kituo cha elimu ya kujiendeleza Juhudi ya liyofanyia katika ukumbi wa Kiwira jijini Mbeya jana. Amesema wazazi wamekuwa wakichangia kwa kiasi...

TEKNOHAMA ITAKUWA NDOTO MAENEO YA VIJIJINI ENDAPO HAVITAPEWA KIPAUMBELE CHA NISHATI YA UMEME

Kamanga na Matukio | 03:02 | 0 comments
Na mwandishi wetuImeelezwa kuwa teknolojia ya habari mawasiliano(TEKNOHAMA) itakuwa ndoto maeneo ya vijijini iwapo nishati ya umeme haitapewa kipaumbele maeneo hayo. Wakiongea na mwandishi wetu wadau mbalimbali wa sekta ya habari mawasiliano nchini wamesema kuwa muda mrefu wameshindwa kuwekeza vijijini kutokana na ukosefu wa nishati wa uhakika maeneo hayo. Aidha utafiti uliofanywa na mtandao huu umebaini kuwa wakazi wengi wana uelewa mdogo...

AJALI : CHIMBUYA - TUNDUMA MKOANI MBEYA.

Kamanga na Matukio | 17:01 | 0 comments
 Gari ya abiria aina ya Hiace yenye nambari za usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya iligongana uso kwa uso na gari aina ya Toyota Prado yenye nambari za usajili T155 ACQ, majira ya saa mbili unusu usiku jana.Watu wakiangalia gari aina ya TOYOTA Prado Hiace yenye nambari ya usajili  T155 ACQ ambayo iligongana uso kwa uso na gari ya abiria aina ya     Hiace yenye nambari ya usajili...

BREAKING NESSSSSS:- MZIMU WA AJALI WAENDELEA KUIANDAMA MBEYA, AJALI MBAYA YATOKEA TENA MAENEO YA CHIMBUYA WILAYANI MBOZI

Kamanga na Matukio | 05:01 | 0 comments
 *Watu 8 wahofiwa kupoteza maisha akiwemo dereva wa pikipiki. *Majeruhi wakimbizwa hospitali ya Rufaa Mbeya na wengine katika hospitali ya wilaya ya Mbozi. *Gari ya abiria aina ya Hiace yenye nambari ya usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya iligongana uso kwa uso na gari aina ya Toyota Prado yenye nambari za usajili T155 ACQ, majira ya saa moja usiku ikihusisha mpanda pikipiki ambayo haikuweza kufahamika...
Pages (14)1234567 Next
 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger