UFAFANUZI:- Ukarabati wa barabara wa aina yake tofauti na utaalamu yakinifu, Mkurugenzi wa Jiji Bwana Juma Idd amesema hatua hii ni ya muda kwani barabara hiyo imetengewa jumla ya shilingi milioni 400, ambapo Mkandarasi amekwisha patikana na shughuli za ukarabati zitaanza mara baada ya msimu wa mvua kuisha.
Mtandao huu umeshuhudia ukarabati ukiendelea eneo la Kanisa la Sabato barabara ya Mbalizi kutokea Meta jijini hapa ambapo Saruji...
NEW VIDEO:- CHRIS BEE - SIENDI MBALI
6 years ago